NDANI YA NIPASHE LEO

17Oct 2016
Happy Severine
Nipashe
Aidha, wametakiwa kuzisajili na kupata leseni za ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kuweka usawa wa biashara. Kaimu Ofisa Mdhibiti ubora mkuu wa TBS, Kanda ya Mwanza, Joseph...

Mkuu wa wilaya iringa, Richard Kasesela.

17Oct 2016
George Tarimo
Nipashe
Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na Katibu Tawala wa Wilaya ya Iringa, Joseph Kitinka kwa niaba ya Mkuu wa wilaya hiyo, Richard Kasesela alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari...
17Oct 2016
Samson Mfalila
Nipashe
Katika ziara ya maalum ya kujifunza jinsi sekta ya mafuta inavyoendeshwa nchini humo kwa hisani ya Kampuni ya Sahara Group ya Nigeria, Nipashe ilishuhudia jinsi kinu cha mafuta cha nchi hiyo...

Shizza Kichuya.

17Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Baada ya kuwa mchezaji anayefunga na kutoa pasi za mabao katika kila mechi Simba ikicheza – unatarajia nini kwake zaidi ya kujiamini zaidi. Winga mpya wa Wekundu wa Msimbazi, Shizza Kichuya,...
17Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Na hata usajili wake haukuwa na mbwembwe. Wachezaji kama Fredrick Blagnon, na baadaye Laudit Mavugo ndiyo waliokuwa wanaimbwa na mashabiki wa klabu hiyo. Lakini kwa Janvier Besala Bokungu,...

kikosi cha Azam.

17Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu hiyo iliyoanza kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2008/09, imekusanya pointi 11 tu kwenye mechi nane za kwanza ilizocheza tangu kuanza kwa Ligi Kuu msimu huu. Mara ya mwisho kwa Azam...

Mkurugenzi wa TPA, Deusdedit Kakoko.

15Oct 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Ni yale yanayodaiwa kuvushwa kinyemela bila ya kukaguliwa , TPA yajivua lawama, Watuhumiwa wa ‘dili’ waanza kujisalimisha
Moto wawaka kashfa kontena 100 Bandari Hali hiyo imejidhihirisha kutokana na taarifa kuwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) haikuhusishwa vya kutosha katika utoaji wa taarifa sahihi juu...
15Oct 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Sambamba na athari hizo, imeelezwa kuwa matumizi hayo ya zebaki huchangia maambukizi ya saratani kwa wanawake wakati wa ujauzito. Hayo yalisemwa juzi jijini Dar es Salaam katika tamko la Siku ya...

waziri wa afya ummy mwalimu.

15Oct 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe
Hayo yalibainika jana wakati wa ziara ya Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Songwe, Lisala Kabongo (Chadema), alipotembelea hospitali hiyo ili kujua changamoto zilizopo na namna ya kuzitatua....
15Oct 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Songwe, Mathius Nyange, alisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia juzi saa tatu usiku nyumbani kwake baada ya kugombana na mke wake. Kamanda Nyange alisema kijana huyo...
15Oct 2016
Romana Mallya
Nipashe
Badala yake BoT imesema sababu za kushuka au kuyumba kwa sarafu ya nchi, mbali na mfumuko wa bei ni nakisi ya mapato na matumizi ya nje ya nchi. Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi, Johnson...

Mdenmark Kim Poulsen.

15Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanza kuandaa kikosi kipya cha Serengeti Boys kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri huo mwaka 2019. Na hiyo inafuatia...
15Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Simba SC leo watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar, wakati keshokutwa Yanga watamenyana na Azam FC katika mfululizo wa Ligi Kuu. Kichuya aliumia kifundo cha mguu Jumatano Simba SC ikishinda 2-0...

Shizza Kichuya.

15Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba wanaingia kwenye mchezo huo wakitoka kushinda mechi ya ugenini dhidi ya wenyeji Mbeya City Jumatano Uwanja wa Sokoine, mabao 2-0 wafungaji Ibrahim Hajib na Shizza Kichuya. Mchezo huo namba...
15Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Yanga SC imeshika nafasi ya 331 mbele ya Azam FC iliyo katika nafasi ya 351, wakati klabu nyingine ya Tanzania iliyoingia...
15Oct 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Tunakukumbuka baba hasa walevi na wasio nacho., Japo Mchonga umeondoka kimwili, kiroho tuko nawe daima hasa wanyonge uliowapigania na wengine kuwakomboa hadi wakawa wazito ….
Na kweli, kilikuwa kinyago cha mpapure ile mbaya, maana kilitutenda tena vibaya. Kwani kilitupapura si haba hadi tukachubuka na kupigika huku kikiendelea kujisifu na kujifanya kijuaji wakati ni...
15Oct 2016
Vivian Machange
Nipashe
Katika makala hii tutaona njia kadhaa ambazo zitapafanya nyumbani kwako paonekane ‘kukali’ bila kutumia fedha nyingi au mahela ya kutisha, kama ifuatavyo. TUMIA RANGI ZA MWANGA Rangi kama nyeupe...

Mwalimu Nyerere akiwa na Rais Keneth Kaunda wa Zambia, Rais Jomo Kenyetta wa Kenya na Milton Obote wa Uganda.

15Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Reli ya Uhuru inaelezwa kuwa ni maono ya Mwalimu Nyerere, ambayo China iliyatekekeleza…”
Reli ya Uhuru inaelezwa kuwa ni maono ya Mwalimu Nyerere, ambayo China iliyatekekeleza hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), na Waziri Mkuu...

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi.

15Oct 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Msimamo huo wa Ewura umetolewa kutokana na maombi ya baadhi ya wafanyabiashara kutaka wajenge vituo vya mafuta katika yadi zao ili kujaza nishati hiyo kwa urahisi badala ya kwenda kwenye vituo vya...
15Oct 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Mchezo wa kandanda una matukio matatu: kushinda, sare ya mabao au suluhu ya kutofungana. Ndio maana katika kandanda, timu zinapotoka sare/suluhu huongezewa muda au kupigiana penalti ili kupata...

Pages