NDANI YA NIPASHE LEO

10Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Baada ya kuwa mbele kwa goli 1-0 kuanzia dakika ya 26 hadi ya 87 dhidi ya mahasimu wao Simba, Wanajangwani walishangazwa na goli la video la 'kinda' aliyeibuliwa na timu ya mkoa wa Morogoro iliyotwaa...
10Oct 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Wakati halmashauri mbalimbali nchini na Baraza la Mitihani (Necta) wakiendelea na uhakiki wa vyeti vya elimu kwa watumishi wa umma, matapeli nao wamepata mwanya wa kujipatia fedha kutoka kwa...

Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Ombeni Zavalla.

10Oct 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Ombeni Zavalla, mbio hizo za kila mwaka huandaliwa na Dar Rotary Club kwa kushirikiana na Bank M zikiwa na lengo la kukusanya...

Laudit Mavugo.

10Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pogba ambaye ni mchezaji ghali zaidi duniani, ameshindwa kuonyesha thamani yake tangu ajiunge na Man United akitokea Juventus msimu huu, huku sababu ikielezwa ni kutokana na kupania kuwafunga mdomo...

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas.

10Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Simba haitaki kukatwa fedha za kufidia gharama za uharibifu uliofanywa na mashabiki wake siku hiyo, badala yake imesema italipa deni hilo watakapopelekewa ripoti rasmi. Ofisa Habari wa Shirikisho...

Uwanja wa Uhuru Maarufu kama "Shamba la Bibi" ukiwa kushoto mwa Uwanja Mkuu wa Taifa.

10Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Ni baada ya kukwama kutumia wa Amaan Zanzibar, mechi dhidi ya Mtibwa sasa...
Kaimu Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit, aliiambia Nipashe jana kwamba wameandika barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuomba watumie Uwanja wa Uhuru. “Tumewaandikia TFF watupe Uwanja wa Uhuru,...

Timu ya Majimaji

10Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Toka mwaka 2007, hakuna timu yoyote iliyofungwa mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuendelea kupata vipigo mara saba mfululizo tangu ulipoanza mfumo mpya wa ligi. Timu pekee...

Shiza Kichuya.

10Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Namba hii imeonekana kuwa ni chungu kwa timu hiyo, hasa baada ya Oktoba Mosi kunyang'anywa tonge mdomoni na kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya watani wao wa jadi Simba kwenye Uwanja wa Taifa....

Hans van der Pluijm.

10Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Hilo ndilo swali unaweza kujiuliza kwa sasa kufuatia kuwapo kwa malalamiko kutoka kwa wadau na wapenzi wa Yanga kuhusu Pluijm kwamba uwezo wake umefikia mwisho. Ila kutokana na kwamba ni timu...

Neymar.

10Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Neymar ambaye katika mchezo huo alifunga bao lake la 300 tangu aanze kucheza soka, kiwiko hicho cha Duk kilitua upande wa kulia juu ya jicho na kumchana vibaya hivyo kumsababishia kuvuja damu nyingi...

wakulima wa mtama.

10Oct 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Meneja Mauzo wa kampuni ya Barton inayojishughulisha na kilimo pamoja na kutoa dawa za kuzuia magugu mashambani, Halima Amir, wakati alipokuwa akizungumza na wakulima...
10Oct 2016
Mhariri
Nipashe
Serengeti Boys ilitolewa na Kongo-Brazzaville kwa bao la ugenini baada ya sare ya jumla ya 3-3, ikishinda 3-2 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kwenda kufungwa 1-0 Uwanja wa Kumbukumbu ya...
10Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Lengo kubwa la mfumo huo ni kuthibiti mapato ambayo yamekuwa yakipotea katika mechi za Ligi Kuu na nyinginezo, na matarajio hayo yalifanikiwa kwa kiasi kikubwa. Wengi waliamini kuwa mfumo huo...
10Oct 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe
Tukio hilo lilijiri jana baada ya kutokea matukio mawili ya mauaji, kujeruhi na kuporwa pikipiki kwa wenzao. Dereva wa pikipiki aliyeuawa ametajwa kuwa ni Paul Mwambije, ambaye alinyongwa na...
10Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mpango ameyasema hayo jijini Washington DC, nchini Marekani, wakati akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia (WB) anayeshughulikia Kanda ya Afrika, Louis Rene Peter Larose....

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara.

10Oct 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, kuna kesi sita za watu wanaojiita mawakala wa kusaidia watu walioacha kazi ili wajitoe kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, zilizofikishwa mahakamani na kuripotiwa polisi, imeelezwa....

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwa ameinama kwa uchungu wakati kijana huyo alipokuwa akizungumza na wanahabari.

08Oct 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kijana huyo alishambuliwa hivi karibuni kwa kutobolewa macho eneo la Buguruni kwa Mnyamani, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam na hadi sasa, tayari mtuhumiwa wa tukio hilo aitwaye Salum “Scorpion”...

Sebastian Chinguku.

08Oct 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
• Mwanafunzi wa video aliyoteswa na walimu afichua chanzo cha unyama huo, Amtetea Mwalimu Mkuu wake , Baba anena mazito, aishukuru serikali
Akizungumza na Nipashe kwa mara ya kwanza jijini humo jana, ikiwa ni baada ya kupata nafuu kufuatia tukio hilo lililozua mjadala mkali bada ya video yake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii,...
08Oct 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba, wa mahakama hiyo baada ya Wakili wa Serikali, Esteria Wilson, kudai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa na kwamba upelelezi wake...
08Oct 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu Mfawidhi, Cyprian Mkeha, baada ya kumtia mshtakiwa hatiani kwa kukiri kosa hilo kwa kuwa siku ya tukio alikuwa amekunywa na kulewa pombe. Hakimu...

Pages