NDANI YA NIPASHE LEO

08Oct 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Sambamba na sababu hizo, vifo hivyo pia uhaba wa vifaa na mashine za kuwaongezea joto na kuzuia maambukizi kunayaweka hatarini maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya miezi kutimia yaani njiti, ambao...

WAZIRI Mkuu, Kassim majaliwa.

08Oct 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Kutokana na taarifa hiyo, amemwagiza Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, kufuatilia ili hatua zichukuliwe dhidi ya waliohusika. Akizungumza na wafanyakazi wa CDA juzi, Waziri Mkuu alisema fedha...
08Oct 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Inadaiwa kuwa mama wa watoto hao, Julitha Julius, aliandaa kitoweo cha dagaa na baadaye kwenda kwa jirani kuomba unga wa mhogo ambao ulipikwa ugali kwa ajili ya mlo wa mchana. Muda mfupi baada ya...
08Oct 2016
Vivian Machange
Nipashe
Aina na mitindo mbalimbali ya fenicha, pazia na mazulia zipo sokoni za kumfaa kila mmoja achague na vivyo hivyo kwa vitambaa vya sofa Baada ya kusema hayo, kutokana na kuwa na machaguo mengi...
08Oct 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Baada ya kunyaka taarifa kuwa wanakaya kwenye kijiji cha Iringa Mvumi waliamua kuwanyotoa roho wataalamu wa kupima udongo ili kuwawezesha kuzalisha vyakula vya kuwatosha, nilijihisi kupasuka kwa...
08Oct 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Sababu kubwa inayotajwa ni kutokuwapo na msingi imara wa kuwawezesha kumudu wanachofundishwa katika hatua hii ya pili ya elimu baada ya kumaliza shule ya msingi. Lugha inayotumiwa kuwafundisha ni...
08Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamo katika taarifa ya Kaimu Kamishna wa Ardhi wa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga, Lekule Alphonce, aliyoitoa mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

08Oct 2016
Asraji Mvungi
Nipashe
Tukio hilo lililosababisha jeshi la polisi na maofisa usalama kufanya kazi ya ziada, baada ya wananchi hao akiwamo Babu Mchungaji Ambilikile Mwaisapila, maarufu kama ‘Babu wa Loliondo...
08Oct 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya kumtia mshtakiwa hatiani kwa na kukiri kosa hilo kwa kuwa siku ya tukio alikuwa amelewa pombe. Hakimu alisema kwa...
08Oct 2016
Mhariri
Nipashe
Msemaji wa Simba, Haji Manara alisema kuwa wanalazimika kuomba radhi kutokana na ukweli kuwa, ingawa uwanjani kulikuwa na mashabiki wa Simba na Yanga, lakini ukweli wale wa Msimbazi ndiyo walihusika...

Katibu wa BMT, Mohammed Kiganja.

08Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Serikali imesema Yanga kukodishwa ni sanaa tu na kwamba baraza la wadhamini...
Licha ya Kampuni ya Yanga Yetu kutangaza rasmi kuikodi klabu ya Yanga kwa miaka 10, kufuatia kukamili kwa mchakato, Baraza la Michezo la Taifa (BMT), limesema halitambui klabu hiyo kukodishwa kuwa...

Kocha Mcameroon, Joseph Omog.

08Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Vinara hao wa Ligi Kuu, Simba watakuwa wageni wa Mbeya City FC Jumatano ijayo katika Uwanja wa Sokoine ikiwa ni mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kocha Mcameroon, Joseph Omog, anatarajiwa...

KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Boniface Mkwasa.

08Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mapema wiki, Mkwasa alisema amesikia taarifa za kutakiwa kurejea Yanga, lakini hajazipokea rasmi kutoka kwa uongozi wa klabu hiyo. Hata hivyo, Mkwasa alisema kwa kuwa yeye...

Washiriki wa shindano la Lete Raha Miss Tanzania 2016, wakifanya usafi katika Hospitali ya Rufaa Dodoma jana. PICHA: HALIMA KAMBI

08Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Warembo hao walitoa msaada wa vifaa mbalimbali kwenye wodi ya kina mama waliojifungua ambapo pia walifanya usafi hospitalini hapo. Akizungumza wakati akiwapokea warembo hao hospitalini hapo, Kaimu...
08Oct 2016
Barnabas Maro
Nipashe
‘M-bashiri’ ni mtu anayeweza kutabiri mambo yawezayo kutokea siku zijazo. Mie si nabii wala m-bashiri. Jumamosi iliyopita, niliandika katika safu hii kuhusu mechi ya Yanga na Simba kwenye...

Bandari ya Dar es Salaam.

08Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizunguzma na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa Chama cha Wafanyabiashara hao, Sumail Edward, hatua zilizochukuliwa na serikali ya kuondoa vikwazo hivyo imekuwa faraja kwao na...

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina, akikagua mazingira ya Kiwanda cha kutengeneza mifuko ya Sulphates cha An Bang International and Investment Ltd kilichopo Tabata jijini Dar es Salaam jana.

08Oct 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Hatua hiyo imechukuliwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina baada ya kufanya ziara ya kukagua maeneo mbalimbali yanayocvhafua mazingira....
08Oct 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
Yadaiwa walio karibu na Magufuli wana kazi zaidi kuepuka ya kina Kilango, Kitwanga
Wakati akiingia Ikulu Novemba 5, mwaka jana, Rais Magufuli alisema hatakuwa na mzaha kwa mtendaji yeyote atakayezembea eneo lake la kazi na kwa kudhihirisha hilo tayari ameshawafyeka baadhi ya watu...

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Dk. Julius Mwaiselage.

07Oct 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Dk. Julius Mwaiselage, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Dk. Mwaiselage alisema matembezi hayo yatafanyika...

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva.

07Oct 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva, katika mahojiano na Nipashe jijini Dar es Salaam juzi, alisema umepangwa kufanyika hivi karibuni baada ya maeneo hayo kuthibitika kuwa yanahitaji uchaguzi...

Pages