11May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ahadi ya benki hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo Stanley Kafu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyokwenda sambamba na...
11May 2022
Marco Maduhu
Nipashe
Madiwani wamepaza kilio hicho leo kwenye kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani Manispaa ya Shinyanga, mara baada ya kumaliza kupokea taarifa utendaji kazi kutoka kwa Meneja Wakala wa barabara...
11May 2022
Romana Mallya
Nipashe
Timu hiyo ya madaktari 10 ambao ni wataalamu katika maeneo tofauti ya afya, ipo nchini kwa muda wa miaka miwili na wanafanya kazi ya kutoa huduma katika hospitali nne ikiwamo Muhimbili.Akizungumza...
11May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Profesa Mkenda aliishukuru NMB wakati akiwakilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kwa mwaka wa fedha 2022/23.Aidha, alibainisha kuwa, Serikali inaendelea kutafuta vyanzo...
11May 2022
Saada Akida
Nipashe
Nabi aliyasema hayo juzi usiku baada ya kukamilika kwa dakika 90 dhidi ya Prisons na timu hizo kutoka suluhu katika mchezo huo wa Ligi Kuu uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.Nabi...
11May 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
***Huku akipania kuifumua Kagera Sugar leo bila Morrison, Chama, asema bado ana mkataba lakini....
Wakala wa Kocha Mkuu wa miamba hiyo ya soka nchini, Pablo Franco, Mkenya Edgar Mitema, ameanika hatima yake ndani ya kikosi hicho.Simba ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 46, watashuka dimbani kusaka...
11May 2022
Romana Mallya
Nipashe
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, alitoa kauli hiyo juzi mkoani Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Ulaya.Balozi Mulamula...
11May 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Dk. Tulia alitoa onyo hilo jana bungeni jijini hapo kufuatia mwongozo ulioombwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Thea Ntara, ambapo alidai kuwa Mbunge Tabasamu alimdhalilisha nje ya Bunge...
11May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sambamba na pongezi hizo amesisitiza kuwa ili taifa liwe na amani, ni lazima wananchi wake wapate haki za msingi. Dk. Mwinyi alisema hayo katika sherehe za Jubilee ya Miaka 25 ya Askofu wa...
11May 2022
Mhariri
Nipashe
Kupanda kwa bei za mafuta kulitangazwa wiki iliyopita hatua ambayo imesababisha bidhaa mbalimbali kupanda gharama pamoja na usafiri wa vyombo vya usafiri, sababu kubwa ya kupanda kwa bei hizo ni vita...
11May 2022
Frank Kaundula
Nipashe
Jaffari Mpoto, mmoja wa wakulima katika eneo hilo, alisema zaidi ya wiki moja imepita tangu kuvamiwa na ndege hao ambapo wanalazimika kutumia saa 12 shambani kulinda mazao yao. Alisema hali...
11May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama, alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wataalam kutoka Tanzania...
11May 2022
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Pia limeiagiza serikali kuhakikisha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inaanza kujiendesha kibenki, ili kuwezesha na kurahisisha utoaji na ukusanyaji wa mikopo kwa wanafunzi...
11May 2022
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Imesema kuwa kufikia mwishoni mwa mwaka huu itafanya uamuzi ulioainishwa katika Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 22014, ikiwamo utekelezaji wa utoaji wa elimu ya msingi kwa miaka 10 badala ya saba...
11May 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mgogoro huo ambao umedumu kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, ulisababishwa na kuhamishwa kwa Makao Makuu ya Dayosisi hiyo kutoka Tukuyu wilayani Rungwe kwenda jijini Mbeya na kusababisha pande mbili...
11May 2022
Maulid Mmbaga
Nipashe
Alitoa wito huo jana wakati wa maonyesho ya wiki ya ubunifu Tanzania yaliyofanyika jijin Dar es Salaam, alisema wamekuwa wakiangalia biashara zinazoanza na za kati na kuona ni namna gani zinaweza...
11May 2022
Jenifer Gilla
Nipashe
Aliyasema hayo jana Uganda katika hafla ya kutia saini hati za makubaliano ya mkataba katika wizara za ulinzi na nishati za Tanzania na Uganda ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kiserikali ya siku...
11May 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Nafuu nyingine ya bei ya mafuta itatokana na mkopo wa masharti nafuu kutoka Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ambayo itapatikana katika mwaka ujao wa fedha ambayo pia itatoa...
10May 2022
Marco Maduhu
Nipashe
Fred Paulo ambaye ni mtoto katika nyumba hiyo, amesema kuwa majira ya saa 11 jioni, alitoka nje kwenda kununua vocha huku simu yake akiwa ameiacha kwenye chaji, aliporudi ndipo akaona moto unawaka...
10May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prof.Mkenda akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2022/23 bungeni leo, amesema fedha hizo zitatolewa kwa riba nafuu na zitasimamiwa na NMB kwa utaratibu maalum wa kibenki na kwa...