Chondechonde 'figisu' zaumeya zisijirudie

22Sep 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala
Chondechonde 'figisu' zaumeya zisijirudie

BARAZA la Madiwani la ManispaayaKinondoni, jijini Dar es Salaam,lilivunjwaSeptemba 16 mwakahuu,baadayawilayayaKinondonikugawanywakatikawilayambilizaKinondoninaUbungo

Kuvunjwakwabarazahilokumezifanyamanispaahizokuanzamchakatowa wiki mbili,kwaajiliyauchaguziwamameyawapyawatakaoongozamanispaahizombili.

Wakatimchakatowakupatawakuandaauchaguzihuoukiendelea, tayarikunataarifakwenyevyombovyahabarikwambaChama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha DemokrasianaMaendeleo (Chadema),vimeanzakushtumianakwahofuyakuhujumiana.

KatibuMweneziwa CCM,Mkoawa Dar es Salaam, JumaSimba, amekaririwaakisemakuwachamachakekimejipangakuhakikishakinashindanafasihiyo,hasakwaManispaayaKinondoni.

“Uchaguzinihesabunasilelemama, nasikama CCM nilazima kwanza tuishukuruSerikaliyaAwamuyaNnenaTanokwakukubaliombiletu la kuwanamanispaatanokatikajiji la Dar es Salaam,”ndivyoalivyokaririwaakisema.

Katibuhuyoakaongezakusemakwamba, kwamudamrefutanguwalipochaguliwakuongoza, Chademawameharibunakuwakilaunapofikauchaguzi, huwanilazimawaanzekuweweseka.

“Tumejipanganakwahesabuzetututashindatu, unajuahapahakunaUkawamaanamwanzoChademawalikitumia Chama cha Wananchi (CUF),kufanikisha mambo yao,lakinibaadayamuda mambo yameonekana,” alisema.

Kwaupande wake,MjumbewaBaraza la MadiwaniChadema, ambayepianiMbungewaUbungo, SaedKubenea, amekaririwaakisemakuwa,hakunahesabuzozotezinazoipa CCM ushindikwamanispaazote.

Akafafanuakwamba,baraza la madiwaniKinondonilililovunjwa, vyamavinavyoundaUmojawaKatibayaWananchi (Ukawa),vilikuwanavitivyaudiwani 38.

KwambaChademaikiwanamadiwani 29, CUF madiwanitisana CCM, madiwani15.

“Ninashangaa CCM wanapodaiwatashindauchaguzi,sijuinikwahesabuzipi? Iwemchana au usikuhawawezi,ingawazipotaarifazandanikwambawanatakakufanyamgawanyowamadiwaniwavitimaalumukamanjiayakuongezanambayamadiwaniwakuwapigiakurawawezekushinda,”alikaririwaakisemaKubenea.

Baadayakuelezahayokwakifupi,nirudikwenyehojakwambamalumbanohayoyaliyoanzakujitokezasasakablayauchaguzinidalilikuwahuendakukawana‘figisufigisu’kamailivyokuwakatikauchaguziwaMeyawaKinondoni, Ilalanajiji la Dar es Salaam.

Wakaziwajiji la Dar es Salaamwanajuajinsiambavyochaguzihizozilivyokuwazinaahirishwamarakwamara,kwasababutuya‘figisufigisu’zabaadhiyawanasiasanahasauchaguziwaMeyawaJiji.

KikubwazaidiambachoRais John Magufuli,amekuwaakihimizanimaendeleobilakujalivyamavyasiasanandiomaanaaliingiliakatiuchaguziwaMeyawajiji la Dar es Salaam,nakutakademokrasiaiachweifanyekazi.

Raisaliwatakawanasiasawasilazimishe mambo ilimwenyehakiyakushindaaacheashindenakwambawakubalikushindaamakushindwamahaliwanapoonakunauwezekanohuo.

Kwajinsiambavyovyamavimeanzamvutano, inaonyeshakwambayaleyaliyotokeamwishonimwamwakajana,namwanzonimwamwakahuuyanawezakujitokezakatikachaguzihizozinazokuja.

Kama alivyosemarais, mtindohuuunawezakucheleweshamaendeleo, hivyonivyemawanasiasawakatambuahilonakuachademokrasiaifanyekaziyakekikamilifuiliwapatikanemameyawaliochaguliwakihalali.

Meyaachaguliwekulingananasifaalizonazobilakujalianatokachamagani,kamaatakuwaniwa CCM, Chadema,ama CUF nisawatu,kwasababuwananchiwanatakamaendeleo.

Na hilondiloanalolihimizaRaisMagufuli.

SasawakatiwamchakatowakuandaauchaguziwameyawaKinondoni, Ubungo, TemekenaKigamboniukiendelea, basiwahusikawazingatiehilonakulifanyiakazi, kwambawananchiwanatakamaendeleo.

Ikumbukwekuwa,wakatimwinginesiasazinawezakucheleweshamaendeleonahasa pale zinapofanyika‘figisufigisu’hadiakachaguliwamgombeaasiyenasifa, maanayakenikwambahawezikufanyalolote la maana.

Madiwaniwachaguemeyabilakujalianatokachamagani,ilimradi awenasifa, lakiniwakiendekeza mambo yavyamawanawezakujikutawakichaguawagombeaambaohawawezikuletamaendeleo.