Wabunge CHADEMA wasitutoe macho

06Dec 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
FIKRA MBADALA
Wabunge CHADEMA wasitutoe macho

IBARA ya 78(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, inasema: “Kwa madhumuni ya uchaguzi wa wabunge wanawake, waliotajwa katika ibara ya 66(1)(b), vyama vya siasa vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu, kwa kufuata utaratibu uliowekwa na kupata angalau asilimia tano ya kura zote "