Biashara »
MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji 'Mo' ameongeza ajira kwenye miradi yake ya uwekezaji...
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Arusha umetangaza kuanza rasmi operesheni yake ya...

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo ya NMB MastaBata kotekote, Aidan Stephen Lukindo (katikati) kutokea Morogoro. Kulia ni Meneja wa Benki la NMB Tawi la Morogoro Business center, Hamis Rashid. Benki ya NMB imeshatoa Pikipiki 10 na 14 mpaka sasa zikiwa ni zawadi kwa wateja wa NMB wanaofanya malipo kupita NMB mastercard au Lipa Mkononi (QR) katika msimu huu wa MastaBata.
Benki ya NMB imeendesha droo ya wiki ya mwisho ya Kampeni ya NMB #MastaBataKoteKote katika...
HUAWEI Tanzania imetajwa kuwa mwajiri bora nchini na hivyo kuthibitisha hadhi yake ubora...

Meneja Mauzo wa mkoa wa Kagera wa Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) Anna Msomba (kushoto) akimkabidhi cheti cha ufadhili wa masomo kupitia mpango wa Kilimo Viwanda mmoja kati wa wanafunzi 24 wa Chuo cha Kilimo na Mifugo cha Igabiro Evona Fredinarnd, wakati wa hafla iliyofanyika chuoni wilayani Muleba mkoani Kagera , jana Januari 27,2023. katikati ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya bia Bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha.
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imekuwa ikisaidia na kukuza kilimo nchini kwa kutoa ufadhili...

Wanafunzi wa shule ya msingi Mapambano mikocheni Dar es Salaam wakipanda miti shuleni hapo kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali za kutunza na kuhifahi mazingira kampeni inayofanywa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET)
BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), limeanza kampeni ya...

Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Edmond Rutajama, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi inayosimamiwa na kampuni hiyo jana jijini Mwanza.
KAMPUNI ya Huduma za Meli Nchini (MSCL) imejidhatiti kuhakikisha kuwa inasimamia miradi ya...
MFANYABIASHARA Omary Hassan, maarufu ‘Mbegu’ ameachiwa huru na mahakama baada ya kukaa gerezani...
WAFANYABIASHARA wadogo maarufu Machinga wa eneo la Mwenge, Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es...
Benki ya NMB imeendelea kuboresha rekodi yake ya kutengeneza faida baada ya mwaka jana kuongeza...