Biashara »

14Sep 2021
Yasmine Protace
Nipashe

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, instarajia kufanya  tamasha kubwa la kuvitangaza...

14Sep 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe

WAFANYABIASHARA mkoani hapa wamesema wanakatishwa tamaa ya kuendelea kulipa kodi kwa serikali...

14Sep 2021
Grace Mwakalinga
Nipashe

WAKULIMA wa mpunga katika skimu ya Mwendamtitu wilayani Mbarali, wametakiwa kuchangia gharama za...

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Gari aina ya Suzuki Carry ambayo amezawadiwa mshindi wa promosheni ya ‘Kapu la Wana’ inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Pilsner Lager.

Mkazi wa Njombe Rehema Lawrence Mbuya, amekabidhiwa gari aina ya Suzuki Carry lenye thamani ya...

13Sep 2021
Shaban Njia
Nipashe

KILIMO cha mboga na matunda katika Halmashauri ya Msalala, mkoani Shinyanga, kimeleta matumaini...

13Sep 2021
Augusta Njoji
Nipashe

TUME ya Maendeleo ya Ushirika imesema itaanza kutumia mifumo ya kielektroniki kwenye ukusanyaji...

13Sep 2021
Paul Mabeja
Nipashe

NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amevitaka vyama vya ushirika nchini kuacha kujiendesha...

13Sep 2021
Steven William
Nipashe

CHUO cha Ufundi cha FDC Kiwanda kilichoko Kata ya Tongwe wilayani Muheza mkoani Tanga kimepata...

12Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Mshindi wa shindano la ‘Kapu la Wana’ linalodhaminiwa na bia ya Pilsner Lager Jackline Minja (kushoto) akipokea zawadi ya Kompyuta kutoka kwa mgeni rasmi Afisa Tarafa Manispaa ya Morogoro Winfred Kipako kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Morogoro . Jackline alishinda vifaa mbalimbali vya studio za picha zenye Thamani ya Tsh milioni 10.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Pilsner Lager, leo imewakabidhi washindi...

11Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAKULIMA na watumiaji wa bidhaa za muhogo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi na maeneo...

11Sep 2021
Augusta Njoji
Nipashe

 
SERIKALI imesema hivi karibuni itaanza kutekeleza miradi ya maji katika miji 28 ambapo...

11Sep 2021
Augusta Njoji
Nipashe

 
BUNGE limeridhia mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la biashara la Afrika (AfCFTA) ili...

Pages