Biashara »

11Jan 2020
Allan lsack
Nipashe

Wadau wa madini ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara, wakipata huduma ya fedha kwenye gari la benki ya NMB inayotembea ndani ya ukuta unaozunguka migodi ya madini ya tanzanite jana. PICHA: GIFT THADEY

WADAU wa madini ya tanzanite katika mji mdogo wa Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara, watafaidika...

10Jan 2020
Rahma Suleiman
Nipashe

WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico, picha mtandao

WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico, 
ameliagiza Baraza la...

10Jan 2020
Nebart Msokwa
Nipashe

BAADHI ya wakulima wa mahindi, wamewaomba maofisa kilimo kuwasaidia kukabiliana na wadudu...

10Jan 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Meneja wa Kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Mtenya Cheya ( kushoto), akizungumza na mmoja ya washindi aliyeshinda zawadi ya bodaboda katika droo ya tatu ya kampeni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza wa NBC, Dorothea Mabonye, Meneja Chapa na Mawasiliano wa benki hiyo, David Raymond na Wakaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Elibariki Sengasenga na Abdallah Hemedi. MPIGAPICHA WETU

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imewahamasisha Watanzania kutumia akaunti ya malengo ya benki...

10Jan 2020
Idda Mushi
Nipashe

KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi, Dk. Rashid Tamatama, amesema licha...

09Jan 2020
Renatha Msungu
Nipashe

MAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Kati, imewataka wananchi wa mikoa ya Singida...

09Jan 2020
Rahma Suleiman
Nipashe

WAZIRI wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Ali Karume, ameushauri uongozi wa Wizara...

09Jan 2020
Nebart Msokwa
Nipashe

WAMILIKI wa viwanda vya kusindika mpunga wilayani Mbarali wamelalamikia mita za umeme...

09Jan 2020
Mary Mosha
Nipashe

WAKULIMA wa mpunga wa skimu ya Kivulini Wilaya ya Mwanga, wamelalamikia kukosa masoko ya uhakika...

08Jan 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha katikati akizungumza na waandishi wa habari wakati akiwatangaza washindi wa promosheni ya tigo wakala kinara.

MAWAKALA wa Tigo Pesa wameuanza mwaka 2020 kwa kishindo baada ya Kampuni ya simu za mkononi ya...

08Jan 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SHIRIKA la Viwanda Vidogo (Sido) mkoani Mbeya kupitia Kituo cha Uendelezaji wa Teknolojia,...

08Jan 2020
Paul Mabeja
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameshtukia riba kubwa inayotozwa na taasisi za...

Pages