Biashara »

02Apr 2018
George Tarimo
Nipashe

WAKULIMA wa mpunga katika Kata ya Ilolompya, Tarafa ya Pawaga wilayani Iringa, wameanza...

02Apr 2018
Halima Kambi
Nipashe

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi.

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi, ametoa mwezi mmoja kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita...

31Mar 2018
Renatha Msungu
Nipashe

BARAZA la Vyama vya Hiari na Maendeleo ya Jamii (Tacosode), linalojishughulisha na asasi za...

31Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa Vodacom, Rosalynn Mworia.

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom, imezindua kampeni ya utoaji elimu ya kukabiliana na...

31Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

UONGOZI  wa Hospitali ya Rufani ya Haydom, wilayani Mbulu, mkoani Manyara umeishukuru serikali...

30Mar 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

Mkurugenzi wa Usimamizi na Ukaguzi wa Soko wa Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (Tira), Elia Kajiba.

SERIKALI imesema kampuni ya bima ambayo itabainika kufanya biashara bila ya kusajiliwa...

30Mar 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe

UTAFITI kwenye sekta ya uvuvi umebaini kuwa wavuvi wanaotumia zana haramu za uvuvi kwenye Ziwa...

30Mar 2018
Gurian Adolf
Nipashe

Shirika la Viwango Tanzania limewataka wachakataji wa asali wanaosafirisha asali kwenda nchi za...

30Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

TANZANIA imesema inaendelea kutekeleza malengo na makubaliano mbalimbali ya Mpango wa Ukanda wa...

29Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Dk. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi flash yenye picha za wanyamapori wa Tanzania Mwenyekiti wa Kampuni ya Kimataifa ya Tibet Dexin Financia Leasing,.

KAMPUNI ya kimataifa ya Tibet Dexin Financia Leasing kutoka China imejitokeza kwa lengo la...

29Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana,  Ajira na Watu wenye Ulemavu),Jenista Mhagama.

SERIKALI imesema uwapo wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ni suala muhimu kutokana na faida...

29Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe

Meneja Mawasiliano na Vyombo vya Habari wa Umoja wa Taasisi za Kodi Afrika (Ataf), Romeo Nkoulou Ella.

TAASISI za kodi Afrika zimetakiwa kutowaona waandishi wa habari kama maadui wanapohitaji...

Pages