Burudani »
MWANAMUZUKI wa kizazi kipya, Faustina Mfinanga, maarufu kama Nandy, ametangazwa kuwa balozi wa...

Timu ya Mauzo ya The Guardian Ltd wakiwa kwenye picha ya pamoja katika hafla ya kufunga mwaka iliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto mstari wa kati ni Meneja wa Fedha Samuel Orgeness na katikati ni Mkurugenzi wa Biashara Ajay Goyal (shati la blue)
Uongozi wa The Guardian Ltd unatoa shukrani zake za dhati kwa wafanyikazi wake wote, hususan...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbas wakifuatilia kwa umakini tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na kituo kimoja cha redia na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine. Tamasha hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Behnam Paul a.k.a Ben Pol, ameachia video ya wimbo uitwao...
NANI kasema haolewi? Ndivyo wapambe walivyokuwa wakiimba wakati wa harusi ya mwigizaji...
Mwanamziki mkongwe wa Bendi ya Talent, Hussein Jumbe amevunjika mguu wa kulia baada ya kupiga...

kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ekwabi Mujungu (kulia) alizungumza na wasanii( hawapo ) pichani wakati wa ufunguzi wa kongamano la kuelimisha vikundi vya sanaa. Kushoto ni kaimu msaidizi ofisi ya Rais sekretarieti ya maadili ya viongozi wa Umma kanda ya magharibi Gerald Mwaitebele.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ekwabi Mujungu amesema kazi nyingi za wasanii ...
Msanii Khalid Mohamed maarufu TID, ameangua kilio na kusema amehuzunika sana kwa baadhi ya vyama...
MWANAMUZIKI maarufu nchini, Ally Choki anatarajia kusindikiza uzinduzi wa albamu mpya ya bendi...

Mwandaaji wa filamu nchini, Aziz Mohamed akiwa na baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa wakati wa uzinduzi wa kipindi kipya cha mahusiano cha ‘Date my Family’ ambacho kitaanza kuonyeshwa kuanzia leo kwenye king'amuzi cha chaneli ya Miasha Magic Bongo ya DSTV. PICHA: MPIGAPICHA WETU
KATIKA kufundisha kuelekea katika maisha mapya, kipindi cha mahusiano kijulikanacho kwa jina la...