Habari »
HAKUNA kitu kinachosumbua vichwa vya watu kama mtihani. Mtihani wa kitu chochote ambacho...
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameongoza wabunge kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (...
WAZIRI wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda, amesema serikali kupitia Wizara ya Kilimo ina mpango wa...
WATU watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa...
WATU sita wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani Morogoro, yakiwamo ya kufa maji na...

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, katikati, akizungumza kwenye Hospitali ya Rufani Mkoani Shinyanga na kuagiza mlinzi wa Suma JKT Geofrey Paulo, aliyepiga mikanda Daudi Lefi ambaye alikuwa akimuuguza mama yake Hospitalini hapo aondolewe mara moja.
MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko ameiagiza Kampuni ya Ulinzi ya Suma JKT Guard...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, Naibu wake, Patrobas Katambi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Andrew Massawe, wakiwa katika kikao ambacho Taasisi chini ya Wizara ziliwasilisha taarifa kuhusu miundo na majukumu mbele ya Kamati ya Katiba na Sheria.
KAMATI ya Bunge ya Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa kwake na maboresho yaliyofanywa na...

Kinara wa matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne 2020, Paul Luziga, akipunga mkono juu ya gari wakati alipopokelewa na msururu wa magari baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe (SIA), jijini Mbeya jana, akielekea shuleni Panda Hill kwa ajili ya kupongezwa na walimu pamoja na wanafunzi wa shule hiyo. PICHA: NEBART MSOKWA
MWANAFUNZI Paul Luziga (17), aliyeongoza kitaifa katika matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imeridhishwa na kasi ya utekelezaji...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali itahakikisha changamoto zote zilizokuwa...
WANANCHI wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), wamemwomba Rais John...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo,...