Habari »

28May 2020
Marco Maduhu
Nipashe

SHAURI namba 10 la mwaka 2020 la uhujumu uchumi, linalomkabili Mbunge wa Kishapu, mkoani hapa,...

28May 2020
Neema Emmanuel
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia), akikabidhi vifaa vya kujikinga na kudhibiti maambukizo ya ugonjwa wa Covid-19, ambavyo ni vitakasa mikono, barakoa, matangi ya maji, mabeseni na ndoo kwa wawakilishi wa shule na vyuo vilivyopo mkoani humo jana, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha sita na ualimu. PICHA: NEEMA EMMANUEL

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, amewataka wakuu wa shule na vyuo kuhakikisha wanafunzi...

28May 2020
Enock Charles
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema inachunguza tuhuma za ubadhirifu wa...

27May 2020
Enock Charles
Nipashe

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ,Vyama vya Siasa pamoja na Wadau leo watajadili na kupitisha...

27May 2020
Christina Haule
Nipashe

Mkuu Wa Mkoa Wa Morogoro Loata Ole Sanare akitoa maagizo ya kusimamishwa kazi Afisa Mapato Wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Charles Komba kutokana na utoro kazini. Picha na Christina Haule, Morogoro.

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare, amemuagiza mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya...

27May 2020
Neema Emmanuel
Nipashe

Maofisa elimu,Wakurugenzi,Wakuu wa shule ,Wakuu wa Vyuo na maofisa mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza...

27May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Agnes Kayola wakati akifungua mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika leo...

27May 2020
Dotto Lameck
Nipashe

WAKAZI wa Kata ya Bombambili mkoani Geita, wamejitolea kufyeka pori kwa ajili ya kujenga...

27May 2020
Renatha Msungu
Nipashe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), Gilles Muroto, akiwaonyesha waandishi wa habari jana sehemu ya magari 17, yanayodaiwa kuwa ya wizi yaliyokamatwa na jeshi hilo kwenye msako wa kutafuta wizi wa magari. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

JESHI la Polisi mkoani Dodoma, limekamata magari 17 yanayodaiwa kuwa ya wizi yakiwa...

27May 2020
Enock Charles
Nipashe

Jengo la utawala la Taasisi ya Ustawi wa Jamii.

TAASISI ya Ustawi wa Jamii ni Taasisi ya Serikali chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

27May 2020
Gurian Adolf
Nipashe

WAKAZI wa kijiji cha Kate, kata ya Kate wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, wameingia katika taharuki...

27May 2020
Romana Mallya
Nipashe

VYUO mbalimbali vimetangaza masharti ya wanafunzi kurudi vyuoni ikiwa ni pamoja na kutoa ratiba...

Pages