Habari »

06Nov 2019
Paul Mabeja
Nipashe

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza, Aidan Eyakuze, picha mtandao

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza, Aidan Eyakuze, amesema katika utafiti walioufanya kwa...

06Nov 2019
Hellen Mwango
Nipashe

MWENYEKITI Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, picha mtandao

MWENYEKITI Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai...

06Nov 2019
Hellen Mwango
Nipashe

Mshitakiwa, Geofrey Nyange (Kaburu) akiwa na ndugu na marafika wakitoka katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana baada ya kuachiwa kwa dhamana. PICHA: MIRAJI MSALA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewaachia kwa dhamana vigogo wawili wa Klabu...

06Nov 2019
Beatrice Shayo
Nipashe

ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, amekabidhi...

06Nov 2019
Anaeli Mbise
Nipashe

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isaac Kamwele akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa mafunzo maalum ya madereva wanawake yaliyofadhiliwa na bank ya dunia. PICHA: MIRAJI MSALA

CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kimefanya uzinduzi wa mafunzo maalum kwa madereva...

06Nov 2019
Renatha Msungu
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, inamshikilia Ofisa Mtendaji...

06Nov 2019
Enock Charles
Nipashe

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dk. Tito Mwinuka, picha mtandao

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema usambazaji wa umeme vijijini unabadilisha maisha...

06Nov 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, picha mtandao

SERIKALI imesema hadi kufikia Agosti mwaka huu, Deni la Taifa lilifikia Sh. trilioni 52.303...

06Nov 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, picha mtandao

BAADHI ya vyama vya siasa nchini vimedai kuhujumiwa na watendaji wa serikali katika mchakato...

05Nov 2019
Beatrice Shayo
Nipashe

ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Mussa Assad.

ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Mussa Assad, amekabidhi ofisi...

05Nov 2019
Mary Geofrey
Nipashe

Meneja wa Bandari ya Tanga, Ajuaye Msese, akifafanua jambo kuhusiana na meli kubwa inayochimba kina katika bandari ya Tanga.

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), inatumia Sh. bilioni 170 kuongeza kina katika Bandari ya...

05Nov 2019
Beatrice Shayo
Nipashe

ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Mussa Assad, amekabidhi ofisi...

Pages