Habari »

15Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Kikwete, wakati alipowaongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, jana. Wengine (kutoka kushoto) ni Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman, Mawaziri Wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Joseph Warioba, Jaji mstaafu Damian Lubuva, Jaji Mkuu mstaafu Barnabas Samatta na (kulia) ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi. PICHA: OWM

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, jana ameongoza mamia na wananchi kuaga mwili wa Hayati Mwanasheria...

15Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

UMOJA wa Ulaya (EU), umesema uko tayari kutoa Sh. bilioni 70 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili...

15Sep 2020
Marco Maduhu
Nipashe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, kimelaani tabia ya baadhi ya vijana wanaodhaniwa...

15Sep 2020
Rahma Suleiman
Nipashe

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT -Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amepokewa...

14Sep 2020
Christina Haule
Nipashe

Katibu Wa CCM mkoa Wa Morogoro Shaka Hamdu Shaka.

Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kimesema Mgombea urais Zanzibar kupitia Chama cha ACT...

14Sep 2020
Boniface Gideon
Nipashe

Mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema ili wananchi wa Dodoma wanufaike katika sekta za kilimo na...

14Sep 2020
Lilian Lugakingira
Nipashe

Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa Hamimu Muhamud.

Mkutano wa kampeni wa Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli...

14Sep 2020
Jumbe Ismaily
Nipashe

MKAZI wa Kijiji cha Bukatika Kata ya Matongo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Shabani...

14Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu,...

14Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imepitia, kuchambua na kufanyia kazi rufani 46 za wagombea...

14Sep 2020
Elizaberth Zaya
Nipashe

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Yeremia Maganja, amesema...

14Sep 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe

SERIKALI za Tanzania na Uganda jana ziliingia makubaliano ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi wa...

Pages