Habari »

25Nov 2017
Mary Mosha
Nipashe

hospitali ya wilaya ya Usangi.

ZAIDI ya Shilingi millioni 77 zimetumiwa kununua vifaa tiba katika hospitali ya wilaya ya Usangi...

25Nov 2017
Allan lsack
Nipashe

MSIMAMIZI wa uchaguzi jimbo la Arusha mjini, Athuman Kihamia, amewataka wananchi kujitokeza kwa...

25Nov 2017
John Ngunge
Nipashe

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga.

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga, anatarajiwa...

25Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wafuasi wa Mnangagwa wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Manyame kumpokea shujaa wao aliyekuwa uhamishoni Afrika Kusini, Jumatano iliyopita (Picha: Al Jazeera)

KINACHOTOKEA Zimbabwe ni mchezo wa kugawana haramu. Kwenye siasa za Zimbabwe, Rais wa mpito...

25Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe

Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Taasisi ya Dk. Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi (kulia), akionyesha baadhi vitabu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Muungano, Esther Matowo. PICHA: JOHN BADI

MWENYEKITI na mwasisi wa Taasisi ya Dk. Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi, ameipongeza serikali kwa...

25Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe

MBUNGE wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama.

MBUNGE wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama (58), amefariki dunia ghafla katika Hospitali ya...

25Nov 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe

AMEKOSA mpinzani! Dau alilotoa Dk. Louis Shika katika mnada wa kununua nyumba za Lugumi...

25Nov 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Abdrahaman Kinana.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Abdrahaman Kinana, amesema anashangazwa na upinzani...

25Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu upasuaji wa kihistoria wa kupandikiza figo ambao umefanyika Novemba 21.

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imeweka historia na rekodi mpya baada ya kufanikiwa...

25Nov 2017
Kelvin Mwita
Nipashe

Katika makala iliyopita tuliangalia makosa ambayo hufanywa na waandishi katika kujiandikia...

25Nov 2017
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imesema haina mamlaka ya kusikiliza hoja au...

25Nov 2017
Renatha Msungu
Nipashe

HATIMAYE mwanga wa matumaini umeanza kujitokeza kuhusiana na mazungumzo zaidi baina ya serikali...

Pages