Habari »

16Oct 2019
Dotto Lameck
Nipashe

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson  ameahidi kutoa ushirikiano kwa wananchi wa Singida ...

16Oct 2019
Dotto Lameck
Nipashe

Mawakala wa Kampuni za Utalii na waandishi wa habari wa Kimataifa zaidi ya 400 wanatarajiwa...

16Oct 2019
Godfrey Mushi
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Dk. Anna Mghwira.

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Dk. Anna Mghwira ameagiza viongozi wa CCM, Chama cha Demokrasia na...

16Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mwenyekiti wa wa Taifa wa  Chadema na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,  Freeman Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai mdororo wa uandikishaji wapigakura...

16Oct 2019
Romana Mallya
Nipashe

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), Dk. Charles Msonde

WATU 42 wakiwamo walimu wakuu, wasimamizi wa mitihani na walinzi, wameingia matatani kwa...

16Oct 2019
Marco Maduhu
Nipashe

WANAFUNZI wa shule na vyuo mbalimbali wamehimizwa kumuenzi Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu...

16Oct 2019
Idda Mushi
Nipashe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilibrod Mutafungwa, picha mtandao

WANAFUNZI tisa wa shule tatu, ni miongoni mwa watu 13 waliokufa kutokana na mvua zinazoendelea...

16Oct 2019
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku moja kwa mawakili wa pande zote mbili katika kesi...

16Oct 2019
Yasmine Protace
Nipashe

Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao huo, Lilian Liundi, picha mtandao

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP Mtandao), umesema Tanzania ya viwanda haitaweza kujengwa kama...

16Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MAKUMBUSHO ya Taifa imetoa elimu ya uzalendo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kama...

16Oct 2019
Enock Charles
Nipashe

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, picha mtandao

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesisitiza nia yake ya...

16Oct 2019
Romana Mallya
Nipashe

MIKOA ya Kanda ya Ziwa imeng’ara katika matokeo ya mitihani ya darasa la saba baada ya kutoa...

Pages