Habari »

19Apr 2018
Romana Mallya
Nipashe

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano wa wafanyabiashara wa Tanzania na Ufaransa, ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Shirikisho la wafanyabiashara wa nchi hiyo la MEDEF, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa TPSF, Dk. Reginald Mengi, Mkuu wa Shirikisho hilo, Momar Nguer na Balozi wa Ufaransa hapa nchini, Frederic Clavier (kulia). PICHA: JOHN BADI

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amewahamasisha wawekezaji wa Ufaransa...

19Apr 2018
Mary Geofrey
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema aliamuru kuwekwa ndani lakini akaachiwa kwa...

18Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema hadi kufikia jana wakina baba waliokubali...

18Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora George Mkuchika...

18Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, amemaliza muda wa kuiongoza...

18Apr 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi.

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema kabla ya kuvichukulia hatua vyama tisa...

18Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Humphrey PolePole.

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey PolePole...

18Apr 2018
Sanula Athanas
Nipashe

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

SERIKALI imesema haitalipa deni la matibabu ya ughaibuni hadi pale itakapofanya uhakiki wa deni...

18Apr 2018
Mary Geofrey
Nipashe

Watu waliofika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa matatizo ya malezi ya watoto kuitikia wito wa Paul Makonda, wakipata msaada wa kitaalamu kutoka kwa maofisa ustawi wa jamii, wanasheria na askari wa Dawati la Jinsia la Polisi Ilala jana. PICHA: MPIGAPICHA WETU

WANAUME 600 wamejitokeza katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuitikia wito baada ya...

18Apr 2018
Hellen Mwango
Nipashe

Mwenyekiti wa Chadema Taifa,  Freeman Mbowe.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imesema itatoa uamuzi juu ya pingamizi la awali...

18Apr 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa.

IDADI ya watu waliokufa kutokana na athari za mvua za mafuriko zinazoendelea katika Jiji la Dar...

18Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako.

SERIKALI inafanya uchunguzi maalum katika Kitengo cha Ununuzi cha Wizara ya Elimu, Sayansi na...

Pages