Habari »

02Jul 2020
Augusta Njoji
Nipashe

WAZIRI wa fedha na mipango, Dk. Philip Mpango, amesema benki ya Dunia imetangaza kuwa Tanzania...

02Jul 2020
Neema Hussein
Nipashe

WAZIRI wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi, ameikabidhi halmashauri ya...

02Jul 2020
Marco Maduhu
Nipashe

VIONGOZI wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, wanashikiliwa na Taasisi ya...

02Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JUMUIYA ya Tumaini Jipya Pemba ‘Tujipe’ imesema rushwa muhali na mashahidi kutokwenda mahakamani...

02Jul 2020
Faustine Feliciane
Nipashe

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya kuwapo kwa vipindi vya upepo mkali...

02Jul 2020
Ambrose Wantaigwa
Nipashe

SERIKALI wilayani Bunda, mkoani Mara imeanzisha msako wa watuhumiwa wa ubakaji na kuwapa...

02Jul 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa ujenzi wa barabara kilomita 111 kwa...

02Jul 2020
Renatha Msungu
Nipashe

SEKTA ya ardhi mkoani Dodoma imetajwa kuwa kinara wa vitendo vya rushwa kwa asilimia 25 katika...

02Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, na viongozi wengine saba wameripoti kituo...

02Jul 2020
Elizaberth Zaya
Nipashe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimetoa ratiba ya utaratibu wa kupata wagombea wa...

01Jul 2020
Allan lsack
Nipashe

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kilimo cha mbegu na maua ya Fides Tanzania, Bas Van Lankveld, wa kwanza kulia, akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Angellah Kairuki, wa katika kuhusu maendeleo ya maua kwenye shamba, na wa mwisho kushoto ni Mkurugenzi wa Tanzania Horticultural Association (Taha), Jacquelin Mkindi. Picha : Allan lsack

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Uwekezaji, Angellah Kairuki, amesema kwa kipindi cha...

01Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mohamed Ahmed.

NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mohamed Ahmed, amesisitiza kuwa ruzuku sio kigezo kwa...

Pages