Habari »

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa PASS TRUST, Yohane Kaduma na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Equity, Robert Kiboti wakibadilishana mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa udhamini wa mkopo ya kilimo.

Taasisi ya PASS Trust na Benki ya Equity wametia saini mkataba wa jumla ya Tsh. bilioni 2.3...

13Sep 2021
Maulid Mmbaga
Nipashe

​​​​​​​TAASISI ya kiraia ya (Community hands CHF) imekuja na mipango mkakati ya kuwawezesha...

13Sep 2021
Pendo Thomas
Nipashe

UTALII wa kutembea kwa miguu hifadhini ni aina ya utalii ambao watalii ufurahia kwani upitishwa...

13Sep 2021
Gideon Mwakanosya
Nipashe

WANANCHI wa Kijiji cha Muhuwesi wilayani Tunduru mkoa wa Ruvuma wamemshukuru mwekezaji...

13Sep 2021
Zanura Mollel
Nipashe

KATIBU wa Malaigwanani Jeremiah Sendui, ameiomba serikali itoe elimu kuhusu chanjo ya UVIKO 19...

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), Dk. Peter Mathuki, amesema kutokana na...

13Sep 2021
Neema Emmanuel
Nipashe

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Leonard Subi.

WAANDISHI wa Habari wametakiwa kuandika habari zilizothibitishwa na wataalamu wa afya, kuhusiana...

13Sep 2021
Daniel Sabuni
Nipashe

JAMII ya Wairaq inayopatikana zaidi katika Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, inatajwa kuwa kikwazo...

13Sep 2021
Lilian Lugakingira
Nipashe

Waziri Jumaa Aweso (mwenye jaketi jeusi) akikagua mradi wa maji.

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso, ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuhakikisha...

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wanawake wa Kijiji cha Kadashi wilayani Kwimba mkoani Mwanza  wamekuwa na wasiwasi kubeba...

13Sep 2021
Marco Maduhu
Nipashe

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando.

Steven Samandari (25) Mkazi wa Nyahanga wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambaye ni mlinzi wa...

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amekagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar...

Pages