Habari »

05Dec 2019
Hellen Mwango
Nipashe

Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema)

SHAHIDI wa tano wa utetezi, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) anayekabiliwa na...

05Dec 2019
Hellen Mwango
Nipashe

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeuagiza upande wa utetezi katika kesi ya...

05Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohammed Janabi

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeongeza vifaa na kukamilisha ukarabati wa jengo la...

05Dec 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, akizungumza na wan habari, jijini Dar es Salaam jana, alipotangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). PICHA: MIRAJI MSALA

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, ameelezea machungu na matamu aliyoyaonja...

04Dec 2019
Allan lsack
Nipashe

Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Prof.Eliamini Sedoyeki akitoa zawadi kwa washindi katika mdahalo wa kujadili muelekeo wa taasisi hiyo.

MKUU wa Chuo cha Uhasibu (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeki amesema chuo hicho, kimejipanga kutumia...

04Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akikagua Mradi wa Maji wa Misungwi, mkoani Mwanza.

UONGOZI wa Wizara ya Maji ukiongozwa na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwa na Naibu Katibu...

04Dec 2019
Daniel Sabuni
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe.

Inaelezwa kuwa watu saba wameuawa na Tembo kwa nyakati tofauti tangu januari mwaka huu katika...

04Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewataka wakurugenzi wa...

04Dec 2019
Paul Mabeja
Nipashe

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo,...

04Dec 2019
Joseph Mwendapole
Nipashe

Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Magereza nchini, Amina kavirondo

MFUMO madhubuti uliowekwa katika magereza mbalimbali nchini umefanikisha kudhibiti mimba kwa...

04Dec 2019
Ashton Balaigwa
Nipashe

WAKATI Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Morowasa) ikipandisha ankra ya maji kwa...

04Dec 2019
Steven William
Nipashe

Mtuhumiwa Joseph Lucas (kushoto), ambaye anatuhumiwa kufanya mauaji ya Fadhili Rashidi mkazi wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga,  akiwa chini ya ulinzi wa Polisi.

MTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima Fadhili Rashidi (35), ameuawa kinyama kwa...

Pages