Habari »

04Dec 2019
Hellen Mwango
Nipashe

SHAHIDI wa nne katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na...

04Dec 2019
Romana Mallya
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema matukio ya ubakaji yameongeza kutoka 608...

04Dec 2019
Mary Geofrey
Nipashe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kurudia uchaguzi wa kiongozi wa Kanda...

04Dec 2019
Elisante John
Nipashe

Rais John Magufuli.

MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini hapa, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39),...

03Dec 2019
Shaban Njia
Nipashe

Mkuu wa kituo cha polisi Wilayani kahama Mkoani Shinyanga Lutusyo Mwakyusa akitoa ufafanuzi kwa wachimbaji wa madini ya ujenzi na wamiliki wa magari ya kubeba madini hayo juu ya malalamiko ya kutozwa faini bila kusimamiwa na kupekuliwa na maafisa usalama wa barabarani.

WAMILIKI wa magari ya usombaji wa madini ya ujenzi wilayani Kahama, wamelilalamikia jeshi la...

03Dec 2019
Marco Maduhu
Nipashe

Wasaidizi wa kisheria kutoka halmashauri sita za mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo wa kisheria ili wakatoe huduma kwa wananchi ya msaada wa kisheria wa hali ya chini.

SHIRIKA linalotoa msaada wa kisheria mkoani Shinyanga Paralegal Aid Centre (PACESHI), limetoa...

03Dec 2019
Shaban Njia
Nipashe

Ofisa madini wa Mkoani Shinyanga Mhandisi Joseph Kumburu akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini ya ujenzi jana katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.

WACHIMBAJI wadogo wa madini ya ujenzi wilayani Kahama mkoani Shinyanga,wametakiwa kuwa na vibali...

03Dec 2019
Hellen Mwango
Nipashe

WAFANYABIASHARA wanne akiwamo Marijan Msofe (53), maarufu kama ‘Papa Msofe’ na Wakili wa...

03Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MKUU wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ameamuru kukamatwa na kuhojiwa na...

03Dec 2019
Beatrice Bandawe
Nipashe

Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Umoja,  Pamela Nchimbi

JUMLA ya Sh. bilioni 216  zimewekezwa katika  Mfuko wa Umoja (Umoja Fund) na wawekezaji nchini ...

03Dec 2019
Anthony Gervas
Nipashe

UGONJWA wa kichocho na minyoo ya tumbo vimetajwa kuwa tisho katika Mkoa wa Mwanza, huku wilaya...

03Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI imetakiwa kuhamasisha kampuni kubwa nchini kuchangia Mfuko wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi...

Pages