Habari »

06Jul 2019
Gurian Adolf
Nipashe

POLISI mkoani Katavi wanamshikilia  mkazi wa  Kijiji cha Songambele wilayani Tanganyika kwa...

06Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe

MBUNGE wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka.

MBUNGE wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka, ametangaza kujiweka kando katika masuala...

06Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),  Jaji Semistocles Kaijage

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Mashariki,...

06Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ametangaza kuchukulia hatua makanisa na misikiti...

06Jul 2019
Beatice Moses
Nipashe

MWANAMUME aliyetambulika kwa jina la Evarist Massawe,  anadaiwa kujiua na kuacha ujumbe...

06Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe

RAIS John Magufuli na mwenzake wa Kenya, Uhuru Kenyatta, wamesema watu wa nchi hizo ni ndugu na...

06Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe

Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa.

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai wamemwibukia spika wa...

06Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo...

06Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani, dawasa Rosemary Lyamuya.

Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA)...

05Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla, ametahadharisha kuhusu ongezeko la watu...

05Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JESHI la Magereza limeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kuhamisha wafungwa 1,535...

05Jul 2019
Happy Severine
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka.

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka, ameeleza sababu za mkoa huo kushika nafasi ya pili kutoka...

Pages