Makala »
MTU anapozungumzia uhifadhi wa misitu na usimamizi wake shirikishi, inaweza kuwa msamiati mgumu...
BUNGE la Kosovo bila kusita limemtwisha mwanamama Vjosa Osmani, jukumu la kuiongoza nchi hiyo,...
KANGI Lugola, ni miongoni mwa waliokuwa wabunge wa CCM ambaye katika mchakato wa kupata...
KAULI ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwataka wabunge kujadili maslahi ya nchi na siyo mipasho,...

Utaalamu na teknolojia unahusisha utambuzi na ugunduzi wa vitu kuanzia taarifa na maelezo muhimu, majina na muingiliano na kazi nyingi zimetumia Kiingereza. Kiswahili hakiwezi kuzipa majina sehemu zote za mwili wa binadamu kazi ambayo ilifanywa miaka mingi iliyopita. Itakuwaje ikielekezwa kutumia lugha hiyo kufundisha elimu ya viumbe hai kuanzia msingi hadi vyuoni? PICHA: MTANDAO.
WAKATI ulipotangazwa mkakati wa kukuza Kiswahili katika nyanja tofauti za kiutawala na kijamii,...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga (katikati) akizindua kitabu chenye Ripoti ya Haki za Binadamu ya Mwaka 2020, iliyozinduliwa hivi karibuni jijijni Dar es Salaam, akiwa na maofisa wa kituo hicho. Picha: Mtandao
UKIUKWAJI wa haki ya kuishi, unaosababisha watu kuuliwa kikatili na wenza au wapenzi wao,...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara walipata ushindi wa mabao 5-0 Jumatano iliyopita...
MPIRA wa miguu ni moja ya michezo inayotazamwa zaidi duniani, na unaingiza kiwango kikubwa cha...