Makala »

12Dec 2019
Yasmine Protace
Nipashe

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Adam Fimbo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo) pichani. PICHA: YASMINE PRTOTACE.

NI miaka minne ya mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...

11Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Matoleo mapya ya simu za mkononi ya Infinix S5 na Infinix S5 Lite yenye uwezo wa kamera ya mbele...

11Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Viongozi wa upinzani Mwenyekiti wa Chadema Mbowe (kushoto) , James Mbatia MCCR-Mageuzi na Seif Shariff Hamad ACT Wazalendo (kulia) . Viongozi hawa wataleta maridhiano kwa kushirikiana na pia kufanyakazi na serikali. PICHA: MTANDAO.

NOVEMBA mwaka 2015, Rais John Magufuli, alilihutubia taifa wakati akifungua rasmi Bunge la 11,...

11Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence, ndiye anayekuwa kiongozi iwapo Bunge la Seneti litampata Rais Trump na hatia.

SPIKA wa Bunge la Wawakilishi nchini Marekani, Nancy Pelosi, anasema chombo hicho kitawasilisha...

11Dec 2019
Gaudensia Mngumi
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Shaib Nnunduma, akifurahia mafanikio ya makubwa yaliyopatikana Mafia na kueleza kuwa wanakila sababu ya kumpongeza Rais Magufuli na kusherehekea miaka 58 ya Uhuru kitofauti.

HUWEZI kudhania kuwa watu wengi hasa watumishi wa umma waliofanyakazi Mafia kuanzia Uhuru mwaka...

11Dec 2019
Zitto Kabwe
Nipashe

DESEMBA 9, 1961 Tanganyika iliingia katika jumuiya ya mataifa huru duniani baada ya kupata uhuru...

10Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Misitu ni rasilimali muhimu kwa vile ndicho chanzo cha mvua, hewa safi na nishati kuni. Bila ulinzi wa misitu kuna hatari ya taifa kugeuka jangwa. PICHA: MTANDAO.

KUNA usemi usemao “hakuna lisilowezekana chini ya jua”. Huwa najiuliza chimbuko la usemi huo ni...

10Dec 2019
Anil Kija
Nipashe

Majaji wa Mahakama ya Afrika wakiwa kwenye makao makuu ya taasisi hiyo yaliyoko Arusha. PICHA: MTANDAO

WASEMAJI wa masuala ya sheria na katiba  nchini wamekuwa na kazi ya ziada hivi karibuni ya...

10Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Madereva wa bodaboda na daladala, wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kupiga vita rushwa ya ngono.

KWA muda mrefu lawama za kuwarubuni mabinti kuanzia watumishi wa ndani, wanafunzi na wasichana...

10Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JOGOO mwenye historia yenye utata ambaye amesafiri kutoka Nigeria na kuhifadhiwa London sasa...

09Dec 2019
Adam Fungamwango
Nipashe

Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichofika fainali ya Kombe la Chalenji 2017 nchini Kenya na kufungwa na wenyeji kwa mikwaju ya penalti 3-2, baada ya kufungana mabao 2-2 kwa dakika 120.

MICHUANO ya Kombe la Chalenji wanaume Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), imeanza...

09Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

LIGI Kuu ya England inachukuliwa kuwa moja ya ligi yenye ushindani mkubwa zaidi na mashabiki...

Pages