Makala »

13Sep 2019
Renatha Msungu
Nipashe

Akitoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitaji wake.

KINAMAMA wa mjini Dodoma sasa wako juu na salama kiuchumi, wakajiunga na miradi mbalimbali ya...

13Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari, akitia saini mkataba wa kuwezesha kusambaza mawasiliano kwa wote, walengwa wakuu wakiwa vijijini. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Ulanga.

DUNIANI kwa sasa suala la mawasiliano linapewa kipaumbele, kutokana na mchango wake katika...

13Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Mkuu wa Wilaya, Rukia Muwango, akizungumza.

UNAPOTAJA msamiati Machinga, kwa wakazi mikoa ya Lindi na Mtwara, wanaanza kwa maana ya kabila,...

13Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Nachingwea wakiwa kwenye kikao. Hao ni wadau muhimu wanaotarajiwa kueneza elimu ya darasa la kodi, lililoanzishwa na Mkuu wa Mkoa, Godfrey Zambi na Mkuu wa Wilaya, Rukia Muwango.

MWISHONI mwa mwezi uliopita, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, ilifunga kampeni ya 'Wiki ya...

12Sep 2019
Marco Maduhu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa Shinyanga, Zainabu Telack, akiwa na Balozi wa Kampeni ya ‘Nyumba ni Choo,’ Mrisho Mpoto.

 

12Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi Mkuu WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus.

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limesema karibu wastani wa watu 800,000 hujiua kila mwaka duniani...

12Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango.

KATIKA kuhakikisha changamoto za afya zinaendelea kupatiwa ufumbuzi Wilaya ya Nachingwea,...

12Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kulia ni mwenyeji wake, Mkuu wa Wilaya, Rukia Muwango, mjini Nachingwea, hivi karibuni katika hafla mojawapo

MIMBA kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari bado ni tatizo kubwa mkoani Lindi. Si...

12Sep 2019
Yasmine Protace
Nipashe

Rehema Mwateba, akionyesha namba za simu za kumlinda mtoto dhidi ya matukio ya kingono. Picha nyingine, akitoa mada.

USHIRIKIANO baina ya pande mbili katika jambo lolote, mara nyingi ndio chanzo cha mafanikio kwa...

11Sep 2019
Mashaka Mgeta
Nipashe

MARAIS Paul Kagame wa Rwanda na Yoweri Museveni wa Uganda, walifikia hatua ya kutoa matamshi...

11Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Raia wa Afrika Kusini, wakiwa na magongo tayari kuwashambulia Waafrika wenzao wanaowatuhumu kuchukua fursa zao za ajira nchini mwao.

WATU wawili wamepoteza maisha kutokana na vurugu mpya zilizofanywa na magenge ya watu nchini...

11Sep 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe

Wananchi wakipiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa mwaka 2014.

KIPENGA cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kimepulizwa tayari na uchaguzi huo unatarajiwa...

Pages