Makala »

11Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais John Magufuli (katikati), akisalimiana na mmoja wa marubani walioleta ndege mpya zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege nchini (ATCL), nyuma yake ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

‘KWELI kikulacho kinguoni mwako’ ingawa ni usemi lakini kuna ukweli ndani yake.

11Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Marehemu Robert Mugabe, Rais wa zamani wa Zimbabwe.

MPIGANAJI Robert Mugabe hatimaye amejisalimisha na kuaga dunia wakati viungo vikiwa vimedhoofu...

10Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wadudu huvutiwa na majani ya mmea huo.

MIMEA inayokula nyama iliyo hatarini kuangamia (Watch a carnivorous plant devouring an insect),...

10Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Profesa Heino Falcke ambaye mradi wa shimo jeusi ni pendekezo lake.

KUNDI moja la Wanasayansi lililopiga picha za kwanza za shimo jeusi lililo angani, limetangaza...

10Sep 2019
Jaliwason Jasson
Nipashe

Mwanafunzi wa awali akionyesha zana zake

KATIKA mustakabali wa sera za kitaaluma, ubora wa elimu unaanzia ngazi ya awali.

10Sep 2019
Marco Maduhu
Nipashe

Mtoto Nchambi (si jina lake halisi) mkazi wa Kata ya Maganzo wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, akisimulia namna alivyotaka kuozeshwa ndoa ya utotoni na wazazi wake, ambao tayari walikuwa wamechukua mahari ya ng'ombe watano na Sh.300,000 ili kumuozesha kwa mwanaume ambaye hata hakuwa anamjua.

MTOTO Nchambi mwenye umri wa miaka 17 (si jina lake halisi), mkazi wa Kata ya Maganzo wilayani...

09Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Cristiano Ronaldo.

KABLA ya msimu wa 2019/20 haujachanganya, hapa tunawaangalia wacheza saba bora wanaovaa jezi...

09Sep 2019
Adam Fungamwango
Nipashe

WAKATI raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilika kwa timu zote 20 kucheza mechi za...

09Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

HUKU msimu mpya wa 2019/2020 ukiendelea, kuna klabu ambazo zimefanya usajili wa maana wakati wa...

09Sep 2019
Adam Fungamwango
Nipashe

KWA mara ya kwanza tangu Ligi Kuu msimu wa 2013/14, ni mchezaji mmoja tu wa kigeni amefunga bao...

09Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KWA kawaida kipindi cha majira ya joto ni muda ambao klabu nyingi zinakuwa bize kwenye...

07Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia waliokaa), akisaini mkataba na mmoja wa wawakilishi wa kampuni inayojenga mradi wa bomba kubwa la maji kutoka Mugango, Musoma Vijijini, kupitia Kiabakari hadi Butiama, huku akishuhudiwa na viongozi mbalimbali akiwamo Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima

SERIKALI imepanga kumfikishia kila Mtanzania maji safi na salama bila kujali eneo analoishi....

Pages