Makala »

09Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

Washambuliaji wa Simba kutoka kushoto, John Bocco, Said Ndemla na Emmanuel Okwi wakishangilia moja ya ushindi wao kwenye mechi za Ligi Kuu msimu huu.

KAMA Simba itashinda mechi yake ya Ligi Kuu Tanzania Bara leo dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye...

09Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

Mtibwa Sugar

HATIMAYE timu soka ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kuzawadiwa mkwaju wa penalti baada ya dakika 1,...

09Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

Yusuph Mhilu akiwahi kuucheza mpira wa kichwa dhidi ya mchezaji wa Welayta Dicha ya Ethiopia huku Emmanuel Martin akitazama mwelekeo kwenye mechi ya kwanza ya mtoano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati Yanga ikishinda kwa mabao 2-0.

BAO la sekunde ya 30 lililofungwa na Rafael Daudi na lingine la  dakika ya 54 lililotupiwa na...

07Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) Dk. Charles Msonde, ametangaza mabadiliko...

07Apr 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe

Nyumba iliyopendezeshwa na bustani. PICHA: MTANDAO.

ILI nyumba ipendeze zaidi, mahitaji yake yanahitaji ‘kunogeshwa’ na vitu vya aina tofauti....

07Apr 2018
Amri Lugungulo
Nipashe

Bango lililotolewa na Taasisi ya Haki Ardhi kupitia Chama cha Wastaafu Kisarawe (CHAWAKI) mkoani...

07Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

BADO Wazanzibari wanazidi kumkumbuka Rais wao wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,...

06Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

HALI ya mabadiliko ya tabianchi na sera zilizopo nchini Malawi, zinawachangaya wakulima kuchagua...

06Apr 2018
Marco Maduhu
Nipashe

Wanaume wa Kata ya Bunambiyu, wilayani Kishapu wakicheza bao asubuhi.

KWA wastani zaidi ya theluhi tatu ya Watanzania ni wakulima na maeneo vijijini. Sekta ya kilimo...

06Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MAREKANI imeipinga China kwa uamuzi wake wa kuweka vikwazo kwa bidhaa zake 128, ikiwemo nyama ya...

06Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Kiwanda cha Sukari Mahonda

WAKATI Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeridhia kutoa vibali kwa kampuni kadhaa...

05Apr 2018
Christina Haule
Nipashe

WASICHANA wengi wanaosoma katika baadhi ya shule za msingi na sekondari wilayani Morogoro,...

Pages