Makala »

27Nov 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe

Mabango haya yanapeleka ujumbe wa aina mbalimbali kwa viongozi, lakini kama watendaji wangetimiza majukumu yao kikamilifu vilio vya shida ya maji vingetoweka. PICHA: MTANDAO.

ZIPO njia kadhaa za kuwasilisha ujumbe kwa mamlaka mbalimbali ili viongozi wapate taarifa na...

27Nov 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe

Baadhi wa wabunge wanawake wakifuatilia vikao vya bunge. Watafiti na watetezi wa haki za kinamama wanataka ushirikishwaji zaidi wa wanawake kwenye masuala ya uongozi kwa kuwa bado hawajapewa nafasi kama inavyostahili. PICHA: MTANDAO

WADAU wa utetezi wa haki za binadamu na za wanawake wanaiona serikali ya awamu ya tano kama...

27Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe anashangaa chama chake kupata ushindi katika mitaa 69 kwenye uchaguzi ambao walijitoa.

UCHAGUZI wa serikali za mitaa umekamilika na wapinzani waliokuwa watazamaji badala ya washiriki...

27Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe

HATIMAYE uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji uliokumbwa na sintofahamu zilizosababisha...

26Nov 2019
Gaudensia Mngumi
Nipashe

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilindoni ya Mafia wakiwa kwenye mabunge ya wanafunzi moja ya mbinu inayotumiwa na SVAGs kulinda mabinti dhidi ya unyanyasaji. PICHA: GAUDENSIA MNGUMI

KWA mwaka 2015/2016 takribani asilimia 40 ya wanawake wenye miaka kati ya 15-49 walifanyiwa...

26Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

AFRIPOL linaweza kuwa neno geni masikio mwa baadhi ya Watanzania, lakini naomba unitegee sikio...

26Nov 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Msonde akimpa zawadi mwanafunzi bora wa Sekondari ya Ihsan Rahma Ngaja hivi karibuni. PICHA: MIRAJI MSALA

MOTISHA ni kichocheo katika kuchagiza ufanisi na utendaji kazi mahiri na wenye kutoa matokeo...

26Nov 2019
Niko Kasera
Nipashe

Wakazi wa kijiji cha Ngabolo, wakimuuliza maswali ya ushirikishwaji, mbunge wao Emannuel Papian (hayupo pichani), katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini Ngabolo, wilayani Kiteto. PICHA: TOVUTI WILAYA YA KITETO.

UHUSISHWAJI ni dhana muhimu katika tasnia ya Utawala Bora na imeendelea kushika kasi kwa namna...

25Nov 2019
Adam Fungamwango
Nipashe

Winga wa Simba, Miraji Athumani, aliyefunga mabao mawili Jumamosi iliyopita dhidi ya Ruvu Shooting.

LIGI Kuu Tanzania Bara imerejea tena na kufikia patamu. Iko kwenye raundi ya 12, na ilisimama...

25Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MPIRA wa miguu ndio mchezo unaojulikana zaidi na ukweli kwamba fedha nyingi zinahusishwa,...

25Nov 2019
Adam Fungamwango
Nipashe

Winga wa Kilimanjaro Queens Mwanahamisi Omari 'Gaucho', akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Burundi kwenye mechi ya Kombe la Challenge Wanawake katika Uwanja wa Chamazi wiki iliyopita.

WAKATI leo timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens ikitarajia kucheza...

25Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JOSE Mourinho amechukua mikoba ya kuinoa Klabu ya Tottenham Hotspurs timu inayoshika nafasi ya...

Pages