Makala »

31Mar 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe

MWONEKANO wa Tanzania ya sasa na ya miaka kumi iliyopita ni tofauti.

31Mar 2018
Margaret Malisa
Nipashe

(picha ndogo juu kulia)-Rosemary Terry, Meneja Mradi wa Don Bosco Tanzania, akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Binti Thamani 2015.

(katikati)-Mkurugenzi wa Don Bosco Tanzania, Farther Celestine Kharkongor, akiongea kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘Binti Thamani 2015.’

(picha ndogo kushoto)-Wasichana waliohudhuria kampeni ya Binti Thamani 2015, PICHA ZOTE: MARGARET MALISA.

SIKU ya tarehe 8 ya mwezi Machi mwaka huu, taasisi ya Don Bosco Network ya nchini Tanzania,...

31Mar 2018
Neema Emmanuel
Nipashe

Pili Charles (19), mkazi wa mtaa wa Isandula ‘C’ Kata ya Isandula wilayani Magu (aliyembeba moto), akiwa na mama yake, Sophia Mashida, ambaye ni mlemavu wa miguu. PICHA: NEEMA EMMANUEL.

“NATAMANI japo kujua kusoma na kuandika. Maisha yangu yamegeuka kuwafimbo ya kunichapa. Niliacha...

30Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMPUNI ya kuzalisha magari aina ya Volkswagen ya Ujerumani, imetangaza itanuanua magari yake...

30Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SEKTA ya kilimo imekuwa tegemezi katika nchi nyingi duniani Afrika ikiwa na nafasi yake ya...

30Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe

Wafanyakazi wakihudumia mashine ya kukamua alizeti ya Chama cha Ushirika cha Umoja cha Liwale Mjini.

MOJA ya mazao ya biashara ambayo sasa yanachangamkiwa na wakulima kutoka maeneo mbalimbali...

30Mar 2018
Flora Wingia
Nipashe

MAANDALIZI ya ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandarini Tanga...

29Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mjamzito akiwa amelala. PICHA: MTANDAO.

WANAWAKE wanashauriwa kulala kwa kutumia upande katika miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito wao,...

29Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wagonjwa wa dengue katika nchi tofauti za Asia wakipata matibabu. PICHA ZOTE: MTANDAO.

CHANZO cha msamiati ‘dengue’ inadaiwa inatokana na neno la Kihispania ‘dinga’ ambalo kina chake...

29Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

“LENGO letu kuu ni kuhakikisha ubora wa dawa zinazotumiwa na waafrika,”

29Mar 2018
Marco Maduhu
Nipashe

Mganga wa zahanati ya kijiji cha Itongoitale, George Msoka, akimhudumia mgonjwa. (KUSHOTO)

(KULIA) Hii ndio zahanati ya kijiji cha Itongoitale, inayohudumiwa na mganga mmoja. PICHA ZOTE: MARCO MADUHU.

SERIKALI iliyopo madarakani imekuwa ikijitahidi kuimarisha sekta hiyo ya afya, kuhakikisha dawa...

28Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WENGI waliosikia kuwa nchi za Afrika zimetiliana sahihi kuanzishwa kwa eneo la Soko Huria la...

Pages