Makala »

26Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

STRAIKA wa Liverpool, Mmisri Mohamed Salah.

STRAIKA wa Liverpool, Mmisri Mohamed Salah, anaongoza mbio za kutwaa Kiatu cha Dhahabu barani...

26Mar 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

Himid Mao (kulia) wa Taifa Stars akipambana na wachezaji wa Algeria kwenye mechi iliyochezwa Alhamisi usiku na kufungwa mabao 4-1 nchini humo. PICHA: MAKTABA

ALHAMISI iliyopita, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ilikumbana na kipigo cha mabao 4-1...

26Mar 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

MPAKA hivi sasa ana mabao 10 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara,  huku timu yake ya Simba ikibakisha...

26Mar 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

Haruna Niyonzima.

MAJERUHI ni jambo la kawaida kwa wachezaji wa mpira wa miguu duniani kote.

26Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

PUNDE baada ya mwanamke kutangazia dunia kuwa yu mjamzito huanza kupewa orodha ndefu ya vitu...

24Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MITAALA ni mpango ulioandaliwa na kuratibiwa kwa ajili ya kufundishia na kujifunzia. Walimu...

24Mar 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe

KULALA ni raha, hivyo jitume kuweka nga’ring’ari sehemu unayolala iwe pepo ya dunia.

24Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WATETEZI wa kuzagaa kwa bidhaa bandia katika nchini zinazoendelea, wana maneno  rahisi na matamu...

24Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Emmanuel Kibona, akitoa elimu ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Azania, Dar es Salaam. PICHA: JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI.

JESHI la Zimamoto na Uokoaji ndicho chombo chenye jukumu la kuzuia na kukabiliana na majanga...

23Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe

Mkuu wa Kitengo Idara ya Mafunzo Trafiki Makao Makuu, Mosse Ndozero (kulia), akizungumza na wanawake wanaopata mafunzo ya udereva kupitia Mradi wa Women on Wheel.

KIHISTORIA, kazi ya udereva wa magari ya kibiashara nchini, kwa kiwango kikubwa imekuwa...

23Mar 2018
Flora Wingia
Nipashe

MCHAKATO wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandarini Tanga, uko...

23Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Hati mpya na ya zamani pichani. PICHA: MTANDAO.

KATIKA kuboresha paspoti za kusafiria nje, Uingereza imepeleka tenda nje ya nchi, kwa hati zake...

Pages