Michezo »
Katika kuhakikisha Yanga inafanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano, uongozi wa timu hiyo...
HISTORIA ya huzuni ya mwaka 1993 ilijirudia jana baada ya wawakilishi wa Tanzania katika...
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ameitaka kamati ya usajili ya klabu hiyo kusajili...
UONGOZI wa Simba umemtambulisha rasmi, Mels Daalder, raia wa Uholanzi kuwa 'Skauti Mkuu' wa timu...
KWA sasa ni Yanga pekee ndio inasubiriwa kutimiza ndoto ya kuwa klabu ya kwanza Tanzania kuleta...
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Mkenya Patrick Odhiambo, anatajwa kurejea nchini ili...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na...
YANGA imefunga mabao 15 katika mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, huku nyota...
BAADA ya kuvuliwa ubingwa, benchi la ufundi la Simba Queens, limesema linajipanga upya...
HUKU ikiwa katika hatari ya kushuka daraja, Polisi Tanzania imesema itapambana kwa 'jasho na...

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana (wa tatu kulia) akikabidhi cheti cha utambuzi wa ushiriki kwa Mkuu wa Matawi wa Kanda Benki ya Exim Elizabeth Mayengoh (wa tatu kushoto) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango mkuu wa benki hiyo katika kufanikisha mashindano ya wazi ya golf ya wanawake ya Lugalo Ladies Open 2023 wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Klabu ya Golf ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Wengine ni pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo (wa pili kulia), Rais wa Chama cha Mchezo wa Golf cha Wanawake Tanzania (TLGU) Bi. Queen Siraki na wadau wengine wa mchezo huo.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana amepongeza jitihada za Benki ya...
AZAM FC imesema kwa sasa hawaifikirii fainali ya kombe la Shirikisho (FA) badala yake akili zao...