Michezo »

15Sep 2021
Adam Fungamwango
Nipashe

HATIMAYE Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, ambaye kwa muda mrefu hakuwa kwenye kikosi...

15Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MAURICIO Pochettino amebainisha kwamba, hana maneno mengi ya kuzungumza linapokuja suala la...

15Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAKATI wawakilishi wa nchi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika walioanzia hatua ya awali...

14Sep 2021
Neema Hussein
Nipashe

Naibu Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul, amezindua rasmi mchezo wa mpira wa...

14Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Ludigija Ng'wilabuzu (kulia), akiwaongoza mamia ya wadau wa soka nchini kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba marehemu, Zacharia Hans Poppe, kwenye viwanja vya Karimjee jijini jana. Anayefuatia (mwenye suti nyeusi), ni Rais wa TFF, Wallace Karia. PICHA: JUMANNE JUMA

WAKATI kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kikipanga kujipima na Aigle Noir...

14Sep 2021
Saada Akida
Nipashe

BAADA ya timu yake kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa...

14Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KARIM Benzema amepaza sauti kusifia kiwango cha Vinicius Junior, wakati Real Madrid ikiibuka na...

14Sep 2021
Saada Akida
Nipashe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika...

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Mikopo kwa Biashara (NMB Head Wholesale Credit ), Nishad Jinah pamoja na Shangwe Kapinga (katikati), Meneja Mwandamizi Raslimali Watu na Meneja wa NMB Jogging Club, Shadrack Mijjinga, wakifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya NMB Marathon- 'Mwendo wa Upendo' inayotarajiwa kufanyika Septemba 25, mwaka huu katika viwanja vya Leaders Club ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. MPIGAPICHA WETU

MAMIA ya wakimbiaji, jana wamejitokeza kushiriki mbio za majaribio kupasha misuli na...

13Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

STRAIKA wa Chelsea, Romelu Lukaku amesema kufunga kwenye Uwanja wa Stamford Bridge ni kitu...

13Sep 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ya Dar es Salaam na...

13Sep 2021
Saada Akida
Nipashe

LICHA ya kuanza na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Horseed SC ya Somalia, Kocha Msaidizi wa Azam...

Pages