Michezo »

11Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

LIONEL Messi ameipiku rekodi ya Pele kama mfungaji mwenye mabao mengi zaidi kwa bara la Amerika...

11Sep 2021
Saada Akida
Nipashe

BAADA ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), kutaja orodha ya makocha ambao hawana sifa ya...

11Sep 2021
Shufaa Lyimo
Nipashe

CHAMA cha Mchezo wa Tenisi Tanzania (TTA), kimesema kwa sasa kinaendelea na mchakato wa kusaka...

11Sep 2021
Gwamaka Alipipi
Nipashe

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Matiko Mniko (kulia), akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la Kitamaduni linalojumuisha wasanii kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kusini, lengo likiwa ni kudumisha tamaduni za kiafrika. Kushoto ni Mwandishi wa Maigizo, Alain Kamal na katikati ni msanii kutoka Kenya, Mammito Eunice. PICHA: JUMANNE JUMA

UBALOZI wa Ufaransa nchini, umeanzisha programu maalum inayowakutanisha wasanii kutoka nchi...

10Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (watatu kushoto) na baadhi ya wawakilishi wa kampuni zilizodhamini mbio za NMB Marathon 2021 wakionyesha alama ya upendo inayoakisi kaulimbiu ya mbizo hizo ya ‘Mwendo wa Upendo’, wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana ya kutangaza mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo zitakazofanyika Septemba 25, mwaka huu. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Mikakati na Ukuaji wa Biashara Coca Cola Kwanza, Josephine Msaliwa (aliyevaa nyekundu) na katikati ni Mwakilishi wa Toyota, Nadah Dhiyebi. MPIGAPICHA WETU

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amekubali kuwa mgeni rasmi na...

10Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

REAL Madrid inapanga kumsajili Robert Lewandowski kutoka Bayern Munich kama watashindwa...

10Sep 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

WAKATI wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF), Azam...

10Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

LICHA ya kuhudumu kwa mabingwa wa nchi, Simba kwa kipindi kirefu akiwa Ofisa Habari wa klabu...

10Sep 2021
Saada Akida
Nipashe

BAADA ya taarifa mbaya ya kuwakosa nyota wake watatu katika mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa...

09Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalum Benki ya NMB, Getrude Mallya akimakabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh.milioni 25.5 Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Lugalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Luwongo ikiwa ni udhamini wa Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa Majeshi 'NMB CDF Trophy 2021'. Kulia ni Meneja wa Club ya Golf ya Lugalo, Luteni Kanali, Frank Kaluwa na Meneja Mwandamizi Wateja Maalum wa NMB, Emmanuel Mahodanga wakishuhudia. Benki ya NMB imetoa takribani milioni 60 kwa ajili ya udhamini wa mashindano hayo kiujumla kwa mwaka huu.

BENKI ya NMB imetoa Sh. milioni 60, kwa ajili ya kudhamini mashindano maalumu ya Mchezo wa Gofu...

09Sep 2021
Saada Akida
Nipashe

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' Kim Poulsen, amesema anataka kuugeuza...

09Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KURUDI kwa Cristiano Ronaldo pale Old Trafford kutaongeza ujasiri na kuisaidia Manchester United...

Pages