Michezo »

31Aug 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

PAMOJA na kushinda mabao 2-1 dhidi ya Yanga juzi, Kocha Mkuu wa Zanaco ya Zambia, Kelvin Kaindu...

30Aug 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

Mashabiki wa Yanga wakiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia tamasha la Kilele cha Wiki ya Mwananchi jana. PICHA: JUMANNE JUMA

HAIJAWAHI kutokea! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na tamasha la tatu la Yanga la Kilele cha...

30Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

PIERRE-Emerick Aubameyang amewataka wachezaji wa Arsenal kuungana pamoja kama wanataka 'kuinua...

30Aug 2021
Somoe Ng'itu
Nipashe

Mshambuliaji wa Simba Queens, Mkongomani Flavine Mawete (kushoto), akimtoka beki wa PVP FC ya Burundi katika mechi ya Kundi A iliyochezwa kwenye Uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, Kenya juzi. Simba Queens ilishinda mabao 4-1. PICHA: SOMOE NG'ITU

LICHA ya kupata ushindi mnono katika mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Ukanda...

30Aug 2021
Saada Akida
Nipashe

UONGOZI wa Tanzania Prisons, umesema malengo makubwa ambayo wamempa Kocha Mkuu wao, Salum...

29Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

​​​​​​​WAKATI Kilele cha Siku ya Mwananchi kikihitimishwa leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,...

29Aug 2021
Saada Akida
Nipashe Jumapili

Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel.

​​​​​​​HUKU kikosi cha Simba kikitarajiwa kurejea nchini leo mchana kikitokea Morocco kilipokuwa...

28Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TAARIFA kutoka katika vyanzo vilivyothibitishwa, mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo...

28Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

LICHA ya kutua Mtibwa Sugar kwa mkopo, beki wa kati wa Simba, Ibrahim Ame, amesema kujiunga...

28Aug 2021
Somoe Ng'itu
Nipashe

Wachezaji wa Simba Queens, wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Gymkhana Nairobi, Kenya kwa ajili ya kujiandaa na mechi dhidi ya PVP FC ya Burundi itakayochezwa katika Dimba la Nyayo leo. PICHA: SOMOE NG'ITU

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania, Simba Queens, wametamba wataanza vizuri kusaka tiketi...

27Aug 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

HUKU mashabiki na wanachama wa Yanga shauku ya kujua hukumu ya kesi kati ya klabu yao na...

27Aug 2021
Saada Akida
Nipashe

WAKATI Kikosi cha Simba kikitarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa wiki hii kikitokea nchini...

Pages