Michezo »

23Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe

Kikosi cha Yanga.

BAADA ya kufanikiwa kuitungua Simba mabao 2-0 jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita,...

23Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe

Kiungo wa Azam, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mamelodi(Picha na Maktaba).

NAHODHA Msaidizi wa Azam FC, Himid Mao Mkami, ataikosa mechi ya kesho ya Ligi Kuu Tanzania Bara...

23Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe

Beki wa Yanga, Pato Ngonyani (kushoto) akimiliki mpira huku akizongwa na Mwinyi Kazimoto wa Simba.

BEKI aliyeng'ara katika nafasi ya kiungo mkabaji wakati wa mechi ya watani wa jadi, Simba na...

23Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe

Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu.

STRAIKA wa Simba Ibrahim Ajibu amewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kutokatishwa tamaa...

22Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe

Beki wa Azam FC, David Mwantika (kulia) akijibizana na kiungo wa Mbeya City FC, Haruna MoshI 'Boban' (wa kwanza kushoto).

BAADA ya kufanikiwa kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 ugenini mjini Mbeya, Azam FC sasa...

22Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe

Mashibiki wa Simba na Yanga

MECHI ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu Bara Yanga na Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

22Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe

Abdi Banda

ABDI Banda hakustahili kutolewa kwa kadi nyekundu katika mechi iliyopita ya watani wa jadi,...

22Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe

Kocha Mkuu wa muda wa Simba, Jackson Mayanja.

KOCHA mkuu wa muda wa Simba, Jackson Mayanja, amewatupia lawama nyota wake, akidai walimwangusha...

21Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Donaldo Ngoma, mfungaji wa bao la kwanza kati ya Simba na Yanga jana.

YANGA imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya jana kuibuka na ushindi...

21Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

KOCHA wa zamani Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza kuwa hatarejea Inter Milan ya Italia msimu...

21Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili

Singida Utd.

BAADA ya kufanikiwa kutua hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), timu ya...

21Feb 2016
Nipashe Jumapili

Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

WAKATI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisema hakuna sababu ya kuajiri makocha wa kigeni,...

Pages