Michezo »
WAKATI kikosi cha Simba kikiwa kambini Zanzibar kujiandaa na mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya...
BAADA ya kucheza soka la kiwango cha juu na kufanikiwa kuifungia timu yake bao moja katika...
SHIRIKISHO la soka nchini (TFF) limeitangaza klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza kupanda Ligi Kuu...
WAREMBO 14 wamejitokeza kushiriki katika shindano la kumsaka malkia wa Tabata mwaka huu ‘Miss...
WAKATI Yanga ikitua nchini jana mchana kutoka nchini Misri ilikokwenda kwa ajili ya mechi ya...
AZAM FC wameasili Dar es Salaam jana wakitoka Tunisia walikokwenda kushiriki michuano Kombe la...

Wachezaji wa timu ya wanawake Shule ya Sekondali Jitegemee (jezi nyekundu) wakiwania mpira na wachezaji wa timu ya wanawake Shule ya Makongo wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Copa Cocacola yatakayo kuwa yakifanyika wakati wa mashindano ya Umiseta.PICHA: MICHAEL MATEMANGA
LIGI ya mpira wa mikono ya Muungano inayoshirikisha timu za wanawake na wanaume kutoka Tanzania...
BAADA ya kuyaaga mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga sasa itakutana na Sagrada Esperanca ya...
BAADA ya timu yake kufanikiwa kurejea Ligi Kuu Bara msimu ujao, uongozi wa timu ya African Lyon...
KAMA kwenye mchezo wa soka kuna suala la bahati, basi itoshe kusema Yanga hawakuwa na bahati...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba na timu ya Taifa (Taifa Stars), Dua Said amesema kuwa mabeki...

Mkurugenzi wa vipindi wa kituo cha televisheni cha EATV, Lydia Igarabuza (wapili kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa mchezo wa tamthilia kutoka kampuni ya Janson Production mara baada ya mkutano na waandishi wa habari kuhusu kurushwa kwa mchezo wa kuigizwa ujulikanao kama ‘Siri ya Familia’ambao utarushwa na kituo hicho kuanzia tarehe 25 mwezi huu.. PICHA: SELEMANI MPOCHI
KITUO cha Televisheni cha EATV, jana kilizindua rasmi tamthili ya yenye maudhui ya Kitanzania ya...