Michezo »

Mshambuliaji wa Yanga, Paul Nonga akijaribu kufunga huku akiwa amezungukwa na wachezaji wa Mgambo Shooting wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda mabao 2-1.PICHA: MICHAEL MATEMANGA
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga jana waliendelea kupiga gia kuelekea kutetea taji lao baada ya...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemteua mwandishi wa habari mwandamizi Alfred Lucas kuwa...
SIMBA imemfungia beki wake anayecheza pia nafasi za kiungo, Abdi Banda, kwa mwezi mmoja ambao...
WINGA wa Azam FC, Farid Mussa Malik jana amepelekwa klabu ya Deportivo Tenerife ya Ligi Daraja...
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium...
UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema umesikitishwa na matukio ya uvunjwaji wa amani yaliyofanywa...
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana alitarajiwa kufanyiwa vipimo vya...
KOCHA wa Yanga SC, Hans van der Pluijm amesema ataendelea kutumia mfumo ule ule wa kucheza kwa...
BAADA ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Shirikisho (FA)...
BAADA ya kuwa ugenini kucheza mechi za hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho,....
HUKU Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikitangaza uchaguzi mkuu wa klabu...
MWANARIADHA wa Fabian Nelson amewasili salama Japan kwa ajili ya kushiriki mbio za kusaka tiketi...