Shughuli za awali SGR kuanza Juni 14

By Frank Monyo , Nipashe
Published at 05:08 PM May 24 2024
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa.

WAZIRI wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema shuguli za awali za treni ya umeme kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro zinatarajiwa kuanza Juni 14 mwaka huu ili kuruhusu kuanza safari ya kwanza ya abira kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma Julai 25 mwaka huu.