Askofu Mkuu Isaack Aman wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha akiongoza ibada yakuuagwa kwa miili tisa,nane ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji akitoa baraka katika miili hiyo kwa ajili ya maziko.
Picha: Getrude Mpezya
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa.
Picha: Getrude Mpezya
Wananchi mbalimbali walioudhuria shughuli ya kuagwa kwa miili tisa ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji.
Picha: Getrude Mpezya
Majeneza yenye miili tisa ya wanafunzi tisa ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji.
Picha: Getrude Mpezya
Wanafunzi walioudhuria shughuli ya kuagwa kwa miili tisa ya wanafunzi wenzao wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji.
Picha: Getrude Mpezya
Wananchi walioudhuria shughuli ya kuagwa kwa miili tisa ya wanafunzi tisa ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji.
Picha: Getrude Mpezya
Wananchi walioudhuria shughuli ya kuagwa kwa miili tisa ya wanafunzi tisa ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji.
Picha: Getrude Mpezya