Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikabidhi cheti cha kijiji kwa mmoja wa viongozi wa vijiji wakati wa mkutano wa wadau kuhusu utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi, uliofanyika Ruangwa mkoa wa Lindi.
PICHA: WIZARA YA ARDHI