Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
Picha: Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akifuatilia hotuba zilizokuwa zinawasilishwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
Picha: Ikulu
Rais Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika.
Picha: Ikulu