Ndege mpya aina ya Boeng B737- 9 Max, imewasili nchini leo Machi, 26, 2024, majira ya saa nane mchana katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Julius Nyerere, Terminal 1, Jijini Dar es salaam.
PICHA: Ikulu mawasiliano