Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Ruvuma, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Issa Milanzi, akiwa na wakaguzi wa magari na watendaji wa kikosi hicho wakikagua magari maalumu ya kubebea wanafunzi mkoani Ruvuma.
PICHA: GIDEON MWAKANOSYA