KAIMU Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga Kennedy Mgani akitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya vitu vya wizi ambavyo wamevikamata.
PICHA: MARCO MADUHU
KAIMU Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Kennedy Mgani akionyesha vifaa vya wizi vilivyokamatwa katika operesheni ya wiki tatu
PICHA: MARCO MADUHU
KAIMU Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Kennedy Mgani akionyesha pikipiki za wizi zilizokamatwa katika operesheni ya wiki tatu.
PICHA: MARCO MADUHU
KAIMU Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Kennedy Mgani akionyesha simu za wizi zilizokamatwa katika operesheni ya wiki tatu.
PICHA: MARCO MADUHU