Baadhi ya wanawake wajasiriamali wilayani Babati wakiuza vikapu vya utamaduni walivyotengeneza kwa kuwezeshwa na Mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili ili kuachana na shughuli za uharibifu wa mazingira, wakiwa kando ya barabara kuu Arusha.
PICHA: RAHMA SULEIMAN