Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki akizungumza na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika, David Mukomana kuhusu maandalizi ya mkutano wa 50 wa Dunia wa Ufugaji Nyuki (APIMONDIA) utakaofanyika nchini mwaka 2027.
PICHA: MAKTABA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (kushoto) akizungumza na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika, David Mukomana (wa pili kutoka kushoto) na Maafisa Waandamizi kutoka Serikalini  kuhusu maandalizi ya mkutano wa 50 wa Dunia wa Ufugaji Nyuki.
PICHA: MAKTABA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika, David Mukomana mara baada ya kikao kuhusu maandalizi ya mkutano wa 50 wa Dunia wa Ufugaji Nyuki (APIMONDIA) utakaofanyika nchini.
PICHA: MAKTABA