Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye helkopta wakati akikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi, Halmashauri ya Mlimba, mkoani Morogoro.
PICHA: OWM