OFISA Elimu Jamii Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini, Shaban Miraji amesema taasisi hiyo imefanikiwa kutoa elimu juu ya madhara na athari za dawa za kulevya, kwa wanachama 35 wa Jumuiya ya EWMA walayani Longido.
PICHA ZANURA MOLLEL