Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto Biteko leo tarehe 8 Aprili, 2024 anashiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya Miaka 40 ya Hayati Edward Sokoine unaofanyika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo mkoani Morogoro.
Picha: Mpigapicha Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto Biteko akisalimia na Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda ambapo watashiriki Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya Miaka 40 ya Hayati Edward Sokoine unaofanyika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).
Picha: Mpigapicha Wetu